Hahahah zile propaganda zao hata wenyewe hawaziamini tena.
Russia kabanwa mbavu huko mwenyewe alikuwa anawapa kiburi Syria na Iran, Sasa hivi hutowasikia IRAN kwa muda mrefu sana, wameona kilichotokea Syria, licha ya Russia kuweka kambi Syria lakini Israel kawachanganyia hesabu wakajichanganya sasa Syria imerudi kwa wananchi.
Hayatolla sasa hivi hata ndani mwake hapaamini, analala uvunguni mwa kitanda, kawa mpoole.
Sasa KURDISH watalianzisha Uturuki mpaka Endorgan naye aache kiburi chake, kisha Middle East pata tulia.
Osama alikufa na Al Qaeda yake, nadhani Nasralla naye atachukua Hezbollah yake.
HAMAS wamekuwa mdebwedo kweli siku hizi hata bunduki hazi watii tena, wanafyatua risasi hazitoki.