Chonde Chonde: kama huna akili usianzishe vita

Makobazi ni lazima siku zote azidiwe akili na wazungu, kwa mfano Iran...hata hiyo Teknelojia kdg anayojivunia leo ya kijeshi yote kapewa na hao hao wazungu!.
Iran amejidharau sana.
 
Mashariki yakati haiwezi kutulia kwa maell

Mashariki ya kati haiwezi kutulia kwa maelezo hayo, hapo zaidi naona machafuko yasisyo na kikomo kuenea kila mahala na ugaidi kushika kasi tena.
Hahaha Ugaidi ulikuwa unafadhiliwa na Iran na Russia, hao wakiacha kufadholi hakuna gaidi utalisikia.
Wasipotulia niite.

Sasa hivi wanapigwa wametulia tulii, pesa imekata, mfadhili kapatwa njaa ghafla.
 
Post inakera iyo. Inahitaji moyo kuisoma
 
Hizi nyuzi zenu na uchambuzi wenu ni zero kabisa. Mlitaka Russia na Iran wapeleke majeshi yao kulinda Syria?

Kama jeshi la Assad halikuwa na molare kupigana na waasi wewe mgeni utafanya nini?

By the way waasi wameikabidhi Syria kwa Marekani, Israel na Uturuki

Mnafikiri waasi watakuwa watawala bora kuliko Assad?
 
Kwa mbumbumbu asiyejua hizbullah ilianzishwaje basi ataongea hivo Nasrallah sio kiongozi wa kwanza mkuu alifia madarakani akiiongoza hizbullah kumbuka ni uvamivi wa mwaka 1982 wa israel ndani ya Lebanon wakafika hadi Beirut ndio ilianzisha Hizbullah sasa matukio kama ya syria yanauwezo mkubwa wa kuzalisha na kutengeneza kundi kubwa na lenye nguvu zaidi ya hizbullah mazingira na hali ya kijiografia na pia hali ya kisiasa inashawishi hivyo ni mara mia Assad statesman kuliko kuwekewa another hizbullah ndani ya syria kumbuka simba mwenda pole ndio mla nyama hata kwa serikali mpya ya syria ni lazima watawaconsult wairan lna warussi la sivyo hawatakuwa na muda mrefu sana madarakani.
 
Jawlan umewauza wasyria Kwa matamanio ya Dunia Yako. Watakutumia na utabaki fala TU siku watakutupa
Quran
2:120 - Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Hahaha kama wanadhani wenzao huko ahera wanafaidi waache waunde vikundi vya kigaidi washughulikiwe, mimi sijali maana ni maamuzi yao. Na itakuwa maamuzi ya Israel kujilinda mpaka waache ujinga.

Iran hana ushawishi tena Syria, labda ungesema Russia.

Iran kesha tepeta han uwezo kuleta fujo tena, mara hii watamkata miguu yote akijitoa akili.

Kiburi alikuwa anakipata toka Russia, na Russia naye huko anaanza kukosa pumzi, hawezi kumsaidia Iran mpaka naye akae sawa, ama aondoke Ukraine au aendelee kuchoka.
 
Makobaz huwa hawana akili, bado watajiponza tu.
Yaani Kaafir awe na akili kuwazidi Watu wa Tauhidi?
Kwani ukisikia mwenye akili unaelewaje?

Maana hata MUUMBA kuna watu amewaita wenye akili,( Wenye Kufikiri) anawajua ni watu gani hao?
 
Hahaha geostrategic decision. Remember usa invaded iraq na kumuangusha Saddam ,remember israel invaded Lebanon 1982 mpaka Beirut ila leo hii hali ikoje .
 
Hahaha geostrategic decision. Remember usa invaded iraq na kumuangusha Saddam ,remember israel invaded Lebanon 1982 mpaka Beirut ila leo hii hali ikoje .
Tuwaache msije tu kusema, wanauwa wanawake na watoto. Kumbuka UVCC na UWT wote ni CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…