Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

Mark my words YANGA ITAPIGWA NNE moja au SEFULI

Jr[emoji769]

Goli zilizopo ni Mbili ( 2 ) tu Mdau na kila Goli litafungwa katika Kipindi chake ( namaanisha kile cha Kwanza na cha Pili ) labda Upepo tu ugeuke kwani hata Wao ( Wapinzani wa Simba SC ) nao wanahangaika Kupunguza idadi lakini katika Kuziondoa hizo Goli Mbili imeshindikana na ndizo watakazofungwa.
 

Kwa taarifa yako tayari huu Uzi wangu umefika kwa Uongozi wa Simba SC, Benchi la Ufundi na Kwake Msemaji wa Simba SC Haji Manara na nashukuru Mawazo yangu ( Ushauri wangu huu ) wameupokea kwa Mikono miwili na tayari TAHADHARI inaenda Kuchukuliwa na huenda nilichokipendekeza hapa ndipo Kikatendeka Kesho dhidi ya Azam FC na ile Mechi nyepesi ya tarehe 8 March 2020 ( Jumapili ijayo ) ambapo Simba SC itashinda Goli Mbili ( 2 ) kwa Sifuri ( 0 )
 
Azam akiwa namba 2 atanufaika na nini?
 
Duuh!
 
Mbona mnalialia Sana?!? Nyie si tunasikia mnavyo vikosi viwili au vitatu? Hofu ya Nini Sasa?! Mna hofu na Yanga?! Yanga apate wapi fedha za hujuma wakati nyie ndio matajiri?! Yanga Ana ubavu gani kufanya hujuma?! Teh tehtehteh tarehe 8 siyo mbali anzeni kusherehekea ushindi kuanzia Sasa...teheteheh kwa hakika tarehe 8 itakuwa ni ya kihistoria ....subirini...sherekeheni kuanzia Sasa...
 
hongereni kwa ushindi bana

Kuifunga Timu dhaifu ya Mbao FC ambayo kwa jinsi ilivyokuwa mbovu Jana Goli Mbili kuna Haja ya Wewe Kuwapongeza hivi? Kwa Simba SC ilivyo sasa na kwa jinsi Mbao FC ilivyokuwa Mbovu jana nina Uhakika ingeibuka na Goli kati ya 8 au hata 11. Hao unaowapongeza kwa Ushindi bado wana tatizo Kubwa la Ushambuliaji na hata Beki zao za Kati na ile ya Kulia ina matatizo na huenda kwa Mapungufu hayo basi Jumapili wakakutana na Dhahama Kubwa kutoka kwa Wekundu wa Msimbazi ambayo ina Wachezaji ambao wanaweza Kuamua Mchezo muda na wakati wowote ule.
 
Kwa taarifa yako Simba wanajua hizo ndio crucial games (muhimu sana) endapo watashinda ligi itakuwa imeisha rasmi sababu simba atakuwa anawazidi yanga n azam zaidi ya point 20. Kitakachobaki kwa azam n yanga ni kupigania FA tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachosema ni kweli, mbao walipata nafasi zaidi ya tatu jana ila wakashindwa kizitumia.
ila mchezo wa azam leo utakuwa ni mgumu kuliko wa yanga hiyo j²
 
unachosema ni kweli, mbao walipata nafasi zaidi ya tatu jana ila wakashindwa kizitumia.
ila mchezo wa azam leo utakuwa ni mgumu kuliko wa yanga hiyo j²
Naona unampamba Genta. 🤣🤣🤣🤣

Naona anayatumia maandishi vizuri kuipamba na kuikuza 5imba kuliko uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…