Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
hata hicho kikosi B mkicheza nacho lazima mfungwe tuSesten Zakazaka ,Van pebles ,Kitombise ,Danpol ,Troisième Ceil ,Penison mnaitwa huku.
Hii ndio tuiite homa ya pambano ama? 🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hicho kikosi B mkicheza nacho lazima mfungwe tuSesten Zakazaka ,Van pebles ,Kitombise ,Danpol ,Troisième Ceil ,Penison mnaitwa huku.
Hii ndio tuiite homa ya pambano ama? 🤔🤔
Mark my words YANGA ITAPIGWA NNE moja au SEFULI
Jr[emoji769]
Hakuna kitu kama hicho bana. Huyu jamaa hatutakii mema. Hicho kikosi alichoshauri kipangwe dhidi ya Azam si ndio kilitolewa jasho na Stand United? Anataka tufungwe na Azam ili wachezaji wapoteze kujiamini hapo tarehe nane
Kwa taarifa yake Lunyasi wanaingiza kosi la kwanza la mauji hapo kesho kwa sababu tunazitaka point tatu kutoka kwa Azam, na siku ya Yanga tunatimba tena na kosi letu kamili kujichukulia point tatu zetu
Azam akiwa namba 2 atanufaika na nini?Subiri wawaumize, si watapewa kadi nyekundu mkuu, halafu wanabaki pungufu, tunaondoka na point 3...halafu kitu ambacho hujui, Azam inahitaji Yanga spoteze pointi zaidi hata ya simba make yanga akipata point 3 kwa simba, Azam ndo asahau namba 2 kabisaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!Goli zilizopo ni Mbili ( 2 ) tu Mdau na kila Goli litafungwa katika Kipindi chake ( namaanisha kile cha Kwanza na cha Pili ) labda Upepo tu ugeuke kwani hata Wao ( Wapinzani wa Simba SC ) nao wanahangaika Kupunguza idadi lakini katika Kuziondoa hizo Goli Mbili imeshindikana na ndizo watakazofungwa.
Mbona mnalialia Sana?!? Nyie si tunasikia mnavyo vikosi viwili au vitatu? Hofu ya Nini Sasa?! Mna hofu na Yanga?! Yanga apate wapi fedha za hujuma wakati nyie ndio matajiri?! Yanga Ana ubavu gani kufanya hujuma?! Teh tehtehteh tarehe 8 siyo mbali anzeni kusherehekea ushindi kuanzia Sasa...teheteheh kwa hakika tarehe 8 itakuwa ni ya kihistoria ....subirini...sherekeheni kuanzia Sasa...Sio hujuma hizo tuu, nasikia hata kadi za marefa zinaweza kuhusika ili wachezaji flani waikose ile mechi ya tarehe 8 ambayo jamaa wa Jangwani inawapeleka puta hata hawataki tarehe ifike mapema! Hivyo nawasihi wachezaji wa Simba katika mchezo wa kesho kucheza kwa tahadhari kubwa! Pia naiomba TFF iitishe kikao cha kamati ya saa 72 kabla ya mchezo wa Jupili ili kama kuna wachezaji watakuwa wamepewa za njano/nyekundu kimizengwe zifutwe!
Azam akiwa namba 2 atanufaika na nini?
Atakuwa ameshajihakikishia Kucheza Michuano ya Kagame Cup na hata Mapinduzi Cup.
Naona mnaanza mikakati ya tarehe 08 eti Mtani.niambie mtani
Jidanganye tu.hata hicho kikosi B mkicheza nacho lazima mfungwe tu
hongereni kwa ushindi banaJidanganye tu.
hongereni kwa ushindi bana
unachosema ni kweli, mbao walipata nafasi zaidi ya tatu jana ila wakashindwa kizitumia.Kuifunga Timu dhaifu ya Mbao FC ambayo kwa jinsi ilivyokuwa mbovu Jana Goli Mbili kuna Haja ya Wewe Kuwapongeza hivi? Kwa Simba SC ilivyo sasa na kwa jinsi Mbao FC ilivyokuwa Mbovu jana nina Uhakika ingeibuka na Goli kati ya 8 au hata 11. Hao unaowapongeza kwa Ushindi bado wana tatizo Kubwa la Ushambuliaji na hata Beki zao za Kati na ile ya Kulia ina matatizo na huenda kwa Mapungufu hayo basi Jumapili wakakutana na Dhahama Kubwa kutoka kwa Wekundu wa Msimbazi ambayo ina Wachezaji ambao wanaweza Kuamua Mchezo muda na wakati wowote ule.
Ahsante ni mwendo wa mbili mbili tu mpaka jumapili.hongereni kwa ushindi bana
Naona unampamba Genta. 🤣🤣🤣🤣unachosema ni kweli, mbao walipata nafasi zaidi ya tatu jana ila wakashindwa kizitumia.
ila mchezo wa azam leo utakuwa ni mgumu kuliko wa yanga hiyo j²
haya bana sisi mashabiki wa simba hatusemi kituAhsante ni mwendo wa mbili mbili tu mpaka jumapili.