Yap hatukatai mana mnaijua fika hali yetu ilivyokuwa angalau now tunasimama.teh teh! ila usajili wenu mlioufanya kwa hii misimu miwili ulikuwa ni wa bahati nasibu
Mark my words YANGA ITAPIGWA NNE moja au SEFULI
Jr[emoji769]
Alitukata sana maini huyo Morison. [emoji23][emoji23]
Ila tunaganga ya tarehe 08 now.
Bado MkuuHii mechi ilishachezwa?
Hii ilikuwa siku 3 kabla Morrison hajawakojoza
Maana kwa tahadhali iliyotolewa na kikosi kilichopangwa naamini adui hatoki na lazima akate rufaa haiwezekani timu ifundishwe na makocha kibao na viongozi tele.Bado Mkuu
Wape Salaam!!Maana kwa tahadhali iliyotolewa na kikosi kilichopangwa naamini adui hatoki na lazima akate rufaa haiwezekani timu ifundishwe na makocha kibao na viongozi tele.
Mkuu kwann haijachezwa au sababu ya hili janga la Corona, sasa itachezwa lini?
Niko Kilosa huku Kijiji kinaitwa ULAYA ndanindani mawasiliano duni.
Naomba updates mkuu , mpaka itakapochezwa natamani sana kujua matokeo ya hiyo mechi.
Maana wale oya oya wanaojiita WANANCHI wakiamua jambo lao , marefa wakiwekwa 6, akija rais wa Caf , mh Karia naye akiwepo bila kumsahau mh Rais wangu PERMASHARP wembe wa kale usioisha makali Maghufuli naamini UHURU WA NCHI HII LAZIMA UPATIKANE.
Maana msemaji na mhamasishaji wa klabu hilo la WANANCHI anasisitiza bila makandokando HAWATUWEZI.!!!!
Eti mechi ile ya 2-2 eti kuna Mama alisaidia saidia,
Michezo ruksa nijuze.
nasubiri kwa hamu matokeo ya hiyo mechi, kama ilichezwa nisimulieni pamoja na udambwidambwi , machenga kanzu, na vp Luis konde boy na yule Benard Morrison waling'ara.?Wape Salaam!!
Ngoja nimuite Okwi Boban Sunzu atupe matokeo ya hii match ilivyokuwa kama ilichezwa lakini.