Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

teh teh! ila usajili wenu mlioufanya kwa hii misimu miwili ulikuwa ni wa bahati nasibu
Yap hatukatai mana mnaijua fika hali yetu ilivyokuwa angalau now tunasimama.

Hivyo mutegemee upinzani hasa new next season.
 
Bado Mkuu
Maana kwa tahadhali iliyotolewa na kikosi kilichopangwa naamini adui hatoki na lazima akate rufaa haiwezekani timu ifundishwe na makocha kibao na viongozi tele.

Mkuu kwann haijachezwa au sababu ya hili janga la Corona, sasa itachezwa lini?

Niko Kilosa huku Kijiji kinaitwa ULAYA ndanindani mawasiliano duni.

Naomba updates mkuu , mpaka itakapochezwa natamani sana kujua matokeo ya hiyo mechi.

Maana wale oya oya wanaojiita WANANCHI wakiamua jambo lao , marefa wakiwekwa 6, akija rais wa Caf , mh Karia naye akiwepo bila kumsahau mh Rais wangu PERMASHARP wembe wa kale usioisha makali Maghufuli naamini UHURU WA NCHI HII LAZIMA UPATIKANE.

Maana msemaji na mhamasishaji wa klabu hilo la WANANCHI anasisitiza bila makandokando HAWATUWEZI.!!!!

Eti mechi ile ya 2-2 eti kuna Mama alisaidia saidia,

Michezo ruksa nijuze.
 
Wape Salaam!!

Ngoja nimuite Okwi Boban Sunzu atupe matokeo ya hii match ilivyokuwa kama ilichezwa lakini.
 
nasubiri kwa hamu matokeo ya hiyo mechi, kama ilichezwa nisimulieni pamoja na udambwidambwi , machenga kanzu, na vp Luis konde boy na yule Benard Morrison waling'ara.?

Vp shavu la kushoto Japhar alimudu? Golini alikaa nani Manula au Benno , Metacha au Shikhalo?

Vp Nchimbi wanayemwita Duma, John bocco vp, yule mwingine ambaye mechi ya 2-2 alipewa penati akashangilia sana vp naye alicheza?

Tshitshimbi , mkude, Faisal , Chama, Kahata na Niyonzima hapo kati ilikuwaje?

Aaaaaaaah, mniwe radhi kwa kuuliza uliza vp, Mapinduzi BALAMA kipenseliiiiii?

Maelezo ya BARAKA MPENJA kama goli lilifungwa alipambaje?

Kashasha huwa anapendelea umombo mm darasa la 3b halafu ni monita.
 
Back
Top Bottom