Pre GE2025 Chonde Chonde Mbowe usikubali Kufanya Mdahalo na Tundu Lissu, mtakiuwa Chama kilichojengwa kwa Jasho na Damu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Huo udhaifu wa ccm kukwepa midahalo ubaki huko huko ccm ambako wanapata madaraka kwa mbeleko ya vyombo vya dola, na sio ushawishi wa kisiasa.
 
Kupigana Marisasi 🐼

RIP Shujaa Magufuli
Niliwaonya hawa vijana kuwa kuchamba kwingi kuondoka na mavi matakoni hawakunielewa ona sasa wanamuweka Sultan kwenye kilengeo. Huu ujuaji wa kishamba sana watu wametangaza nia tuacheni wafanye kampeni then box ndiyo litoe majibu lakini wamekomaa kumshambulia Lissu na kumpamba Sultan hadi sasa wanaanza kumchafua wakiamini wanamsaidia. Na Mbowe mwenyewe angeweza kuwazuia hawa kunguni wake wakae kimya wasubiri wajumbe wafanye kazi yao lakini amewalea wakimshambulia Lissu sasa wanamdhuru yeye mwenyewe. Mimi mbavu sina ngoja nijilipue na Havan Club yangu.
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄

Mdahalo ni muhimu kuweka wazi tofauti zao za maono. Sasa watu wa CCM ndiyo hawataki mdahalo😂
 
Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
Unasema kwa ndimi mbili.Kwanza unakubali kwamba amekijenga Chama kwa miaka 33 hivyo atakuwa wa mwisho kukibomoa.Anayetaka kukibomoa ni "mkuja" kutoka NCCR Mageuzi aliyekuja kwa njaa zake na hana narudia hana mchango wowote wa kukijenga Chama.Huyo mnayemtetea ni opportunist tu anayepokea maagizo kutoka kwa Msigwa.Ila kwa sababu hamtaki kufikiri bali mmebebwa na wimbi kama la Lowassa mnafuata tu kama nyumbu.TAFAKARI.
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Binafsi naelewa unacho lenga hapa.

Mdahalo kati ya Mbowe na Tundu Lissu ni kuwa Mbowe atakuwa kama mwakilishi hafifu sana wa Mwenyekiti na Rais wa Tanzania.
Mdahalo huo utakuwa ni kama kuwajulisha waTanzania rasmi, kwamba mabadiliko makubwa yanakuja.
Mdahalo huo utakuwa fursa kubwa kwa Lissu kujitambulisha rasmi kwa waTanzania; kama Jemedari atakaye ongoza jeshi la kuikomboa Tanzania toka kwenye makucha ya wakoloni weusi, CCM.
 
Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
Ninakusoma "upya" kabisa mkuu 'zitto junio.r'

Nyinyi mliopo huko ndani ya chama hicho, tena damu changa kabisa, wasomi wa uelewa toisha kabisa..., tulieni vizuri sasa. Nchi hii inawategemea sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote
 
Unasema kwa ndimi mbili.Kwanza unakubali kwamba amekijenga Chama kwa miaka 33 hivyo atakuwa wa mwisho kukibomoa.Anayetaka kukibomoa ni "mkuja" kutoka NCCR Mageuzi aliyekuja kwa njaa zake na hana narudia hana mchango wowote wa kukijenga Chama.Huyo mnayemtetea ni opportunist tu anayepokea maagizo kutoka kwa Msigwa.Ila kwa sababu hamtaki kufikiri bali mmebebwa na wimbi kama la Lowassa mnafuata tu kama nyumbu.TAFAKARI.
Dr Nchimbi: Mbowe alinipigia Simu mara 5
 
Msigwa ndio amuongoze Lissu? Mnachekesha kweli? Hivi Lissu unaona ni boya boya hivo? Kwamba hana akili ya kuona madhaifu ya Mbowe mpaka aambiwe na Lissu?

Mbona hata Mnyika anaonekana hana amani ni suala la muda tu naye atakuja kumwaga mboga.

Hakuna anayepinga mchango wa Mbowe ila kujenga chama haimaanishi ndio ukigeuze kampuni hadi ukiue. Huku chini gharama zote tunabeba wanachama kuanzia ujenzi wa ofisi mpaka kulipa posho alafu mtu mmoja anajidai ndio mmiliki, hivi bila wanachama huyo Mbowe atatoa wapi hela za kulipa ofisi nchi nzima??

Acheni kumfanya mungu mtu enough is enough hatumtaki huyu CCM B, na akilazimisha tutamtoa kwa nguvu ya umma.
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Unamuagiza kama nani?
Au ameshakula mbuzi wenu na sasa mnachagua wimbo?
 
Back
Top Bottom