Pre GE2025 Chonde Chonde Mbowe usikubali Kufanya Mdahalo na Tundu Lissu, mtakiuwa Chama kilichojengwa kwa Jasho na Damu!

Pre GE2025 Chonde Chonde Mbowe usikubali Kufanya Mdahalo na Tundu Lissu, mtakiuwa Chama kilichojengwa kwa Jasho na Damu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nikuulize swali, Mbowe akisema hakuna cha uchaguzi wala rafiki yake na uchaguzi, Lisu atafanya nini
Hoja ya kitoto kabisa Chadema ni ya wanachama na si kampuni binafsi ya Mbowe. Mnamtukuza sana huyu Mbowe na mwisho wenu sasa umefika,unabana pua kabisa eti Mbowe akisema hakuna uchaguzi Lissu atafanya nini,seriously unaamini katika huu ujinga?
 
LISU AMESHAKUWA ADUI WA MBOWE, ADUI MKUBWA KUWAHI KUTOKEA, MSITHUBUTU KULETA MDAHALO KATI YAO. MBOWE USIKUBALI UJINGA HUU WA MDAHALO Erythrocyte
 
LISU AMESHAKUWA ADUI WA MBOWE, ADUI MKUBWA KUWAHI KUTOKEA, MSITHUBUTU KULETA MDAHALO KATI YAO. MBOWE USIKUBALI UJINGA HUU WA MDAHALO Erythrocyte
Uadui unautangaza wewe lakini Mbowe na Lissu hawakukutana barabarani huu ni upepo wa uchaguzi tu,nyie chawa ndiyo mnaleta uadui,wacheni ushamba huo kuna maisha ndani ya Chadema baada ya uchaguzi.
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Sawa kisemeo cha m.kiti ila sisi wanachama ndio tunataka mdahalo.Kama hapo kwenu licha ya kuogopa mdahalo mnaogopa hata ushindani iweje uwafundishe Chademq nini wafanye nini wasifanye na kwa manufaa ya nani?
 
Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
Athari za kuhodhi madaraka muda mrefu ndio hizo....unajiona wewe ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza.
 
Uadui unautangaza wewe lakini Mbowe na Lissu hawakukutana barabarani huu ni upepo wa uchaguzi tu,nyie chawa ndiyo mnaleta uadui,wacheni ushamba huo kuna maisha ndani ya Chadema baada ya uchaguzi.
Mbaya zaidi kuna chawa from within hiyo ndio mbaya zaidi.
 
Nikuulize swali, Mbowe akisema hakuna cha uchaguzi wala rafiki yake na uchaguzi, Lisu atafanya nini
Kwani chama ni chagadema tu. Ana mwachia sultan na kikoba chake. Anaenda kwengine. Walitoka wengi pale kabla hatuja jua usultan wa mwamba ila now tumejua so akitoka mtu kama Lissu tuna kisahau
 
Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
JENGA CHAKO
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
JENGA CHAKO
Kwani nani analipa kodi za ofisi, posho na gharama za mikutano huku mashinani zaidi ya sisi wabangaizaji? Au hujui chadema ni msingi ni 100% funded na wanachama maskini. Unadhani Mbowe anaweza kulipa kodi za ofisi zote nchini?

Kajenga misingi ila operations zinaendeshwa kwa michango ya wengi mnoo huku chini. So acheni kiburi na dharau sisi hatutoki ila nyie mafisadi ndio mtatuachia chama. Na mkilazimisha kuiba tutamng'oa kwa nguvu ya umma haijawahi shuhudiwa.
 
Kwani chama ni chagadema tu. Ana mwachia sultan na kikoba chake. Anaenda kwengine. Walitoka wengi pale kabla hatuja jua usultan wa mwamba ila now tumejua so akitoka mtu kama Lissu tuna kisahau
Hajatoka!
 
Back
Top Bottom