johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kupigana Marisasi ๐ผKumbeeee,mnaanza kujitaja sasa,umefumbua fumbo kubwa sana.
Boni Yai wameshamnasa ๐๐Hizi zama za AGI sauti inadukuliwa picha inadukuliwa unaweza kusema umelogwa.
Mapolisi waache kumuonea.Boni Yai wameshamnasa ๐๐
Huo udhaifu wa ccm kukwepa midahalo ubaki huko huko ccm ambako wanapata madaraka kwa mbeleko ya vyombo vya dola, na sio ushawishi wa kisiasa.Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana ๐
Niliwaonya hawa vijana kuwa kuchamba kwingi kuondoka na mavi matakoni hawakunielewa ona sasa wanamuweka Sultan kwenye kilengeo. Huu ujuaji wa kishamba sana watu wametangaza nia tuacheni wafanye kampeni then box ndiyo litoe majibu lakini wamekomaa kumshambulia Lissu na kumpamba Sultan hadi sasa wanaanza kumchafua wakiamini wanamsaidia. Na Mbowe mwenyewe angeweza kuwazuia hawa kunguni wake wakae kimya wasubiri wajumbe wafanye kazi yao lakini amewalea wakimshambulia Lissu sasa wanamdhuru yeye mwenyewe. Mimi mbavu sina ngoja nijilipue na Havan Club yangu.Kupigana Marisasi ๐ผ
RIP Shujaa Magufuli
Mbowe hana uwezo wa midahalo, anaweza kuhutubia kama walivyo wanaccm wengine.Ukweli na Uwazi tunataka Mdahalo.
Najua hatamuweza Lissu lakini ajikakamue tu.Mbowe hana uwezo wa midahalo, anaweza kuhutubia kama walivyo wanaccm wengine.
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana ๐
Tatizo la Lisu hanaga mambo ya Siri, juzi kidogo tu kashamtaja marehemu aliyempa ushahidi wa Rushwa ๐๐Mdahalo ni muhimu kuweka wazi tofauti zao za maono. Sasa watu wa CCM ndiyo hawataki mdahalo๐
Hivi unafikiri lile limemtoka kwa bahati mbaya, that was a well calculated move,ile imetikisa hadi Tunguu,ile ni bonge ya ndonga imefungua code muhimu sana.Tatizo la Lisu hanaga mambo ya Siri, juzi kidogo tu kashamtaja marehemu aliyempa ushahidi wa Rushwa ๐๐
Unasema kwa ndimi mbili.Kwanza unakubali kwamba amekijenga Chama kwa miaka 33 hivyo atakuwa wa mwisho kukibomoa.Anayetaka kukibomoa ni "mkuja" kutoka NCCR Mageuzi aliyekuja kwa njaa zake na hana narudia hana mchango wowote wa kukijenga Chama.Huyo mnayemtetea ni opportunist tu anayepokea maagizo kutoka kwa Msigwa.Ila kwa sababu hamtaki kufikiri bali mmebebwa na wimbi kama la Lowassa mnafuata tu kama nyumbu.TAFAKARI.Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
Binafsi naelewa unacho lenga hapa.Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana ๐
Ninakusoma "upya" kabisa mkuu 'zitto junio.r'Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
Dr Nchimbi: Mbowe alinipigia Simu mara 5Unasema kwa ndimi mbili.Kwanza unakubali kwamba amekijenga Chama kwa miaka 33 hivyo atakuwa wa mwisho kukibomoa.Anayetaka kukibomoa ni "mkuja" kutoka NCCR Mageuzi aliyekuja kwa njaa zake na hana narudia hana mchango wowote wa kukijenga Chama.Huyo mnayemtetea ni opportunist tu anayepokea maagizo kutoka kwa Msigwa.Ila kwa sababu hamtaki kufikiri bali mmebebwa na wimbi kama la Lowassa mnafuata tu kama nyumbu.TAFAKARI.
Msigwa ndio amuongoze Lissu? Mnachekesha kweli? Hivi Lissu unaona ni boya boya hivo? Kwamba hana akili ya kuona madhaifu ya Mbowe mpaka aambiwe na Lissu?Unasema kwa ndimi mbili.Kwanza unakubali kwamba amekijenga Chama kwa miaka 33 hivyo atakuwa wa mwisho kukibomoa.Anayetaka kukibomoa ni "mkuja" kutoka NCCR Mageuzi aliyekuja kwa njaa zake na hana narudia hana mchango wowote wa kukijenga Chama.Huyo mnayemtetea ni opportunist tu anayepokea maagizo kutoka kwa Msigwa.Ila kwa sababu hamtaki kufikiri bali mmebebwa na wimbi kama la Lowassa mnafuata tu kama nyumbu.TAFAKARI.
Unamuagiza kama nani?Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana ๐
Mnyika alipoteza network tangu Lowasa alipomhonga Mbo..we 10b na kupewa nafasi ya kugombea urais kupitia saccos, halafu Dr. Slaa akatupwa kama tissue paper iliyotumika.Mbona hata Mnyika anaonekana hana amani ni suala la muda tu naye atakuja kumwaga mboga.