mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Hali ni MbayaHali inatisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni MbayaHali inatisha sana.
Bei za vifurushi ni kichomi haswa.
Kama bei elekezi wamepangiwa na Faustine kwa kushirikiana na tisiaraei basi wanaumiza watu wa hali ya chini
Bora hata nyie wa halotel huku voda ni kisanga, hiyo elfu 3 huku ni mb 600 tena hapo natumia laini ya chuo!!!!!!View attachment 1740314
Kama unafuu tuliotangaziwa ni huu bora niendelee kuibiwa tu.
Kabla ya mabadiliko nilikua nanunua kwa halotel tsh.3000 napata GB3, sms 3000 na dk 30 mitandao yote kwa sasa bei mpya ni hizii. Tuliotangaziwa kuwa bei ya gharama za simu zintapungua kwanzia Aprili yan MB 1 utanunu kwa sh 2 kutoka 264 bei ya awali.
Je hii ndio nafuu au ndio ghali?
😂😂😂👆👆Cha jero hakuna🤣🤣🤪