Chonde chonde Mh. Faustine Ndugulile tunaomba uturudishe Misri tu,sio kwa kipigo hiki kwenye vifurushi

HAKUNA ANAYE KUJALI.
panbana na Hali YAKO.
Binafsi naona POA TU .
Bei za vifurushi ni kichomi haswa.
Kama bei elekezi wamepangiwa na Faustine kwa kushirikiana na tisiaraei basi wanaumiza watu wa hali ya chini
 
Bora hata nyie wa halotel huku voda ni kisanga, hiyo elfu 3 huku ni mb 600 tena hapo natumia laini ya chuo!!!!!!
 
Huyu waziri ana maamuzi ya kiboya sijui kwanini kaachwa kwenye baraza
 
Hichi ni kimbunga kilichoachwa na jeypiem[emoji849][emoji849]hakika namba tunaisoma kama ilivyo
 
Mimi siwalaum serikali bali nailaumu mijitu iliyowarudisha hawa jamaa madarakani kwa mapenzi ya kuzaliwa na kuikuta kijani madarakani. bila kutafakari hali ya maisha na kutambua maana ya demokrasia,kupanga ni kuchagua wacha tuchapike wote pumbafu thana, walidhani wanatutetea wazee wa bando kumbe kile kikao cha muda mrefu ulikuwa ni mpango wa kuja kutukomoa,bora ya jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…