chonde chonde mkuu wa wilaya kahama,vijana wanatapelika na kikundi kinacho jiita alliance fanyeni juu chini

chonde chonde mkuu wa wilaya kahama,vijana wanatapelika na kikundi kinacho jiita alliance fanyeni juu chini

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
kama mnavofahamu hawa watu na vikundi vingine mwanazoni viliingia mijini kama dar na baada ya kushtukiwa naona wameamua kujikita mkoani kwa wasio na uelewa.

Hiki kikundi kinaingiza vijana kwa kuwadaganya kwa ada
ya laki sita na hakun kinachoeleweka na sasa imebaki vijana kutupiana lawama.

serikali na mkuu wa mkoa wa kahama na pamoja na jeshi la polisi fanyeni juu chini na wanatumia jengo la serikali na kukiwa na idara zote.

fanyeni uchunguzi kabla haya jawa mambo
 
Sina uhakika kama hao vijana wote hawajawahi kutumia mitandao ya jamii na hawajawahi kusikia kitu kinachoitwa Alliance in Motion Global.

Hizi habari zimetapakaa humu JF na mitandao mingine pamoja na ndugu zake Qnet(aliyeingia zamani), Forever living n.k

Kule Moshi tulisikia Alliance walipigwa marufuku na kuamriwa kuwalipa vijana waliowatapeli. Iweje huko Kahama habari hizo hazijawahi kufika?

Hata hivyo natambua ugumu wa kuchakarika na endapo ukielezwa namna ya kutusua haraka hapo lazima useme dodo chini ya mwembe hili hapa.

Kwa kuwaokoa, anza wewe kuwaelimisha wachache unaowajua ambao bado hawajatapeliwa kabla mamlaka za serikali hazijachukua hatua kuwasaidia.

Pia unadai wanatumia majengo ya serikali kuendeshea ushawishi wao, hapo wamewalipa hao hao viongozi unaowataka watoe msaada kuwanusuru. Ni ishu nyingine pia!
 
kama mnavofahamu hawa watu na vikundi vingine mwanazoni viliingia mijini kama dar na baada ya kushtukiwa naona wameamua kujikita mkoani kwa wasio na uelewa.

Hiki kikundi kinaingiza vijana kwa kuwadaganya kwa ada
ya laki sita na hakun kinachoeleweka na sasa imebaki vijana kutupiana lawama.

serikali na mkuu wa mkoa wa kahama na pamoja na jeshi la polisi fanyeni juu chini na wanatumia jengo la serikali na kukiwa na idara zote.

fanyeni uchunguzi kabla haya jawa mambo
Mkoa wa kahama unapatikana wapi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom