Chonde chonde ndugu zanguni naombeni msaada wenu. Nina wakati wa kuhuzunisha moyo

Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa.nisiyemfaa,mjinga,bwege na fala.

Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na kunambia nakosa nini kwake.nijitahidi kuachana na tabia mbaya ambazo hazitanisaidia kitu.

Sasa sina kazi muda flani. She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jumamosi shemeji yenu ana birthday. Mwenzenu sina hata 1000 mfukoni. Chonde chonde ndugu zanguni mnichangie nimtoe out shemeji yenu. Au hata nimnunulie zawadi.

Nawaombeni sana wana JF mnipige tough ktk hili sisi wanaume huwa tunabebana kuokoa jahazi.jahazi langu linazama. Nahuzunika birthday yangu she did a lot. Alitumia almost tsh 550,000 for me. Mimi nahitaj hata 100,000 tu.

Naahidi kuwa baada ya sherehe ntamwambia yote nliyoyafanya ni kwa hisani ya watu wa JF. Afahamu undugu si kufanana.ni kufaana nanyi mkinifaa kwa jua nami ntawafaa kwa mvua.
Nipe no yake nimtumie ye mwenyew kwenye cm yake maan we umesema hata hela ya wese ya gari unakosa nahofia nawez kukutumia wew ukaibana, wanaume tuna upendo sana ebu tuma izo no chapu.
 
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa.nisiyemfaa,mjinga,bwege na fala.

Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na kunambia nakosa nini kwake.nijitahidi kuachana na tabia mbaya ambazo hazitanisaidia kitu.

Sasa sina kazi muda flani. She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jumamosi shemeji yenu ana birthday. Mwenzenu sina hata 1000 mfukoni. Chonde chonde ndugu zanguni mnichangie nimtoe out shemeji yenu. Au hata nimnunulie zawadi.

Nawaombeni sana wana JF mnipige tough ktk hili sisi wanaume huwa tunabebana kuokoa jahazi.jahazi langu linazama. Nahuzunika birthday yangu she did a lot. Alitumia almost tsh 550,000 for me. Mimi nahitaj hata 100,000 tu.

Naahidi kuwa baada ya sherehe ntamwambia yote nliyoyafanya ni kwa hisani ya watu wa JF. Afahamu undugu si kufanana.ni kufaana nanyi mkinifaa kwa jua nami ntawafaa kwa mvua.
Aliemwambia azaliwe January nan?
 
Dah yani alitumia 550000/= kwa birthday, ada ya semester 1 huko SUA.. hongereni sana mkuu kwa kupendana. Mungu ni mwema, usiwe unatumia gari sana, sometimes tembea utaokota hata buku njiani.
 
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa.nisiyemfaa,mjinga,bwege na fala.

Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na kunambia nakosa nini kwake.nijitahidi kuachana na tabia mbaya ambazo hazitanisaidia kitu.

Sasa sina kazi muda flani. She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jumamosi shemeji yenu ana birthday. Mwenzenu sina hata 1000 mfukoni. Chonde chonde ndugu zanguni mnichangie nimtoe out shemeji yenu. Au hata nimnunulie zawadi.

Nawaombeni sana wana JF mnipige tough ktk hili sisi wanaume huwa tunabebana kuokoa jahazi.jahazi langu linazama. Nahuzunika birthday yangu she did a lot. Alitumia almost tsh 550,000 for me. Mimi nahitaj hata 100,000 tu.

Naahidi kuwa baada ya sherehe ntamwambia yote nliyoyafanya ni kwa hisani ya watu wa JF. Afahamu undugu si kufanana.ni kufaana nanyi mkinifaa kwa jua nami ntawafaa kwa mvua.
Ni ufala kuomba msaada kwaajil ya besidei kwenye mtandao kama jamii forum we waombe marafiki zako wa karibu uluonao hujaona msizwa alivyofanya kwaajil ya harusi yake na esma? Hebu jiongoze uza hata gar umfurahishe mwanamke wako
 
She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jitahidi leo asubuhi sana umwambie una safari ya mbali sana na umepungukiwa pesa ya mafuta hivyo unahitaji kama 200000 hv. Akikupa utatumia 50000 kuweka mafuta kwenye gari kisha utaenda wilaya jirani na ulipo, utakaa huko mpaka kesho asubuhi utarudi nyumbani na zawadi kibao bila yeye kujua kuwa umenunu kwa pesa yake. Hakikisha unapita kwemye vidimbwi ili gari ichafuke kwelikweli[emoji852][emoji852][emoji852]
 
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa.nisiyemfaa,mjinga,bwege na fala.

Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na kunambia nakosa nini kwake.nijitahidi kuachana na tabia mbaya ambazo hazitanisaidia kitu.

Sasa sina kazi muda flani. She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jumamosi shemeji yenu ana birthday. Mwenzenu sina hata 1000 mfukoni. Chonde chonde ndugu zanguni mnichangie nimtoe out shemeji yenu. Au hata nimnunulie zawadi.

Nawaombeni sana wana JF mnipige tough ktk hili sisi wanaume huwa tunabebana kuokoa jahazi.jahazi langu linazama. Nahuzunika birthday yangu she did a lot. Alitumia almost tsh 550,000 for me. Mimi nahitaj hata 100,000 tu.

Naahidi kuwa baada ya sherehe ntamwambia yote nliyoyafanya ni kwa hisani ya watu wa JF. Afahamu undugu si kufanana.ni kufaana nanyi mkinifaa kwa jua nami ntawafaa kwa mvua.
Huna kazi ila unafanya birthday ya 500k + huna kazi una gari .
Huna kazi unataka kumfurahisha mtu kwenye birthday yake?
Kama anakupenda kweli atakuelewa kuwa haupo vizuri kwa saa, ila naona kabisa kuna kitu hakipo.

something is not right
 
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa.nisiyemfaa,mjinga,bwege na fala.

Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na kunambia nakosa nini kwake.nijitahidi kuachana na tabia mbaya ambazo hazitanisaidia kitu.

Sasa sina kazi muda flani. She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jumamosi shemeji yenu ana birthday. Mwenzenu sina hata 1000 mfukoni. Chonde chonde ndugu zanguni mnichangie nimtoe out shemeji yenu. Au hata nimnunulie zawadi.

Nawaombeni sana wana JF mnipige tough ktk hili sisi wanaume huwa tunabebana kuokoa jahazi.jahazi langu linazama. Nahuzunika birthday yangu she did a lot. Alitumia almost tsh 550,000 for me. Mimi nahitaj hata 100,000 tu.

Naahidi kuwa baada ya sherehe ntamwambia yote nliyoyafanya ni kwa hisani ya watu wa JF. Afahamu undugu si kufanana.ni kufaana nanyi mkinifaa kwa jua nami ntawafaa kwa mvua.
Katafute vibarua vya kupalilia Hukwo mashambani
 
Kwani yeye shemeji keshakuchangia shilingi ngapi?
 
achana na wanaokupinga, nitumie namba ya shemeji yetu pm nikusaidie kum-explore na bonge la surprise [emoji23][emoji23]
 
Ni ufala kuomba msaada kwaajil ya besidei kwenye mtandao kama jamii forum we waombe marafiki zako wa karibu uluonao hujaona msizwa alivyofanya kwaajil ya harusi yake na esma? Hebu jiongoze uza hata gar umfurahishe mwanamke wako
Huoni ni ufala zaidi mpaka kuelekea kwenye u... Kumpangia mtu maisha? Mwache aishi maisha yake. Kupanga ni kuchagua
 
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa.nisiyemfaa,mjinga,bwege na fala.

Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na kunambia nakosa nini kwake.nijitahidi kuachana na tabia mbaya ambazo hazitanisaidia kitu.

Sasa sina kazi muda flani. She is the one anayeniwekea mafuta kwenye gari na kuhakikisha tunasimamisha shughuli za kiuchumi.

Jumamosi shemeji yenu ana birthday. Mwenzenu sina hata 1000 mfukoni. Chonde chonde ndugu zanguni mnichangie nimtoe out shemeji yenu. Au hata nimnunulie zawadi.

Nawaombeni sana wana JF mnipige tough ktk hili sisi wanaume huwa tunabebana kuokoa jahazi.jahazi langu linazama. Nahuzunika birthday yangu she did a lot. Alitumia almost tsh 550,000 for me. Mimi nahitaj hata 100,000 tu.

Naahidi kuwa baada ya sherehe ntamwambia yote nliyoyafanya ni kwa hisani ya watu wa JF. Afahamu undugu si kufanana.ni kufaana nanyi mkinifaa kwa jua nami ntawafaa kwa mvua.
Mzeebaba zio lazima umtoe out banaa....we that day mpige show tuu ya kibabe kama commemoration ya siku yake ya kuzaliwa....yaani siku nzima wewe kuwa romantic sanaa kwa mama..achana na mambo za kuja kutuchangisha hapa....au kama vp weka gari rehani hiyo kama una ugwadu sana na mtonyo.Amka weweee.
 
Nipe namba ya wife niwatoe wote OUT sehem mtakayopenda
 
Back
Top Bottom