Chonde chonde ndugu zanguni naombeni msaada wenu. Nina wakati wa kuhuzunisha moyo

Chonde chonde ndugu zanguni naombeni msaada wenu. Nina wakati wa kuhuzunisha moyo

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....Wallahi
Ningesema Mengi ila ngoja Niseme tu..
PAMBANA NA HALI YAKO
 
"Turudishe tabasamu kwa shemegi sio??"

Kimsingi hitaji lako halina uzito kiivo.
Ni mara mia niendelee kuchangia wahitaji kwenye page ya Malisa GJ kuliko kukuchangia kwa ajili ya kumfurahisha mwandani wako.
Pengine nia yako ni njema lakini namna unavyotaka kuitekeleza si sahihi hata kidogo.

Kwa ushauri:

Kwa kuwa umeeleza kuwa shem ni muelewa na amekuwa akifanya mengi kwa ajili yako. Hivyo ni wazi kwamba anaelewa hali unayopitia. Kwa msingi huo unapaswa kuitumia vyema siku yake ya kuadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwa kumueleza namna unavyothamini mchango wake. Muweke wazi mambo uliyotamani kumfanyia lakini yameshindikana kutokana na hali uliyonayo. Mwisho kuwa MWANAUME, onesha kivitendo mapambano unayoyafanya ili kujinasua toka kwenye hiyo hali, na kamwe usibweteke.
 
Back
Top Bottom