Chonde Chonde Serikali tupieni upesi ' Jicho lake Kali ' katika huu ' Usanii ' wa uwekezaji wa GSM, Sevilla na la Liga kwa Klabu ya Yanga

Mwambie huyo GSM wako kuwa Tanzania hii ya sasa ni ya Rais Dkt. Magufuli hivyo huo Usamjo ( Utapeli ) wake kwa Yanga SC hatoliweza Kamwe.
Tanzania ni ya nani??? Hebu ongeza sauti
 
Ondoka tu brother, waache wenye timu yao waendelee !! Maana uchungu wa kutembeza bakuli wanaujua wao!! Kaa pembeni angalia yanayoendelea! Muda unatasema maana ndio mwamzi sahihi !!
 
GSM ondoka hapo haraka sana utachafuka ujute

Tena afanye upesi kwani hakuna nchi ambayo sasa ina Kashfa za Dawa za Kulevya na Ubaguzi wa Rangi duniani kama Hispania ( Spain ) yao hii hii.
 
Mi nadhani wanawekeza ili nao wapate faida kwa hiyo pia msitegemee kupata faida kwa kipindi kifupi ingawaje Yanga ni Timu kubwa ambayo inatakiwa mikakati sahihi inayoonekana ila ndio hivyo mikakati endelevu hakuna unaona viongozi wanashika kila tawi ili waweze kuwafunga wapinzani na kulipa mishahara kwa kupitia hao wadhamini ingawaje Mambo hayapo sawa ...
 
Tanzania ina ' CEO's ' wa Kuendesha mambo mengine tu, ila haina ' CEO's' wa Kuendesha na Kusimamia Mambo ya Mpira. Tuwapongeze Simba SC.
Weka cv yake hapa tuone kama nchi nzima hatuna haya mambo
 
Mleta mada...umeichangia Yanga milioni ngapi mpaka sasa?
 
 
Kweli IQ yako imeonekana kuwa uwezo wako umeishia hapo GENTAMYCINE unahitaji hiyo dawa ya gentamycine..
1.Kwanza naomba uwatake radhi wana YANGA WOTE kwa upuuzi wa kuwaambia IQ yao ndogo.
2,Nakushauri kama hujui jambo jipe muda wa kuuuliza wahusika ujue kuna Club yako , viongozi wako, nk pata data usikurupuke mkuu….
3, Hili ni jambo zuri sana na la kuiondoa Yanga point moja kwenda point nyingine….HALI YA KIUCHUMI SIO NZURI NA KLAB INA MIAKA 85 SASA TANGU 1935 bado wakae kwenye mawazo mgando kama yako sio sahihi
4. Pata muda nenda Klabuni utaeleweshwa taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…