Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Uto kwenye kazi yake!Sorry Guadiola Mnene, ni maoni yangu tu nimetoa.
Uzoefu na CV ndio zinajengwa hivi ilivyo kwa Juma Mgunda sasa unataka apate CV ya kufanya makubwa Afrika kocha mzawa aitolee wapi ikiwa vilabu vikubwa vyenye uwekezaji mkubwa na ndio wanashiriki michuano hiyo hatuwaamini.Ni kweli Mzawa anajua lakini hupotezi kitu kwa kuendelea kupata uzoefu kutoka kwa waliotutangulia kisoka.
Akipatikana Kocha mwenye CV zilizoshiba atakuwa Mentor mzuri tu kwa Mgunda na Matola, hasa kwa mustakabali wao huko mbeleni.
Tukimalizana Oktoba 23 hapo sasa hili nalo tutaliangalia...Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu.
Na Viongozi wa Simba ni kama vile wamekaa wakisubiri kama vile wanasikilizia. Nadhani hili litawagharimu Simba, huu mchezo wa kuwafuatisha Mashabiki sidhani kama utakuwa na mwisho mwema.
Ninashauri Simba waendelee na wakamilishe mchakato wa kumtafuta Kocha Mkuu na Mgunda na Matola wabaki kama Wasaidizi wakiendelea kupata uzoefu, walau kwa misimu miwili.
Shughuli iliyopo mbele bado ni mzigo mkubwa kwa Mgunda na Matola na inavyoonekana matokeo mazuri wanayoyapata Simba pamoja na maelekezo ya mwalimu ila ni kama pia kuna morali binafsi ya wachezaji, na hili halitachukua muda mrefu.
Namuheshimu sana Mgunda, lakini kutoka Coast mpaka Simba na kuridhika na matokeo yanayopatikana ni kucheza kamari tu.
Kama ni kweli kulikuwa na mpango wa kumfuatilia Kocha wa Asec basi mipango hiyo ifanyike ikiwezekana Kocha aje.
Mashabiki wenu hawa timu itakapoanza kukosa matokeo kama kawaida watabadilisha kiitikio(chorus) na hamtokuwa tayari kusikiliza nyimbo zao.
Na ni fundi sana wa kuwakabili hao uto, msimu wa 20/21 aliwaharibia unbeaten yao pale mkwakwani, juzi tu hapa kawagongesha 3 wakawa wanahangaika kuzisawazisha kwenye fainal ya FA.Naona kama wameanza kumuogopa huyu Gwadiola mnene maana hata mechi ya trh 23 na utopwinyo tutawafunga tena nyingi tuuuu
Mimi sinq shaka kabisa trh 23 tunawafumua tena nyingi tuuNa ni fundi sana wa kuwakabili hao uto, msimu wa 20/21 aliwaharibia unbeaten yao pale mkwakwani, juzi tu hapa kawagongesha 3 wakawa wanahangaika kuzisawazisha kwenye fainal ya FA.
We subiri hiyo tarehe 23 uone.
[emoji16][emoji3][emoji16][emoji119][emoji846][emoji442][emoji2969][emoji932] duh nomaNaona kama wameanza kumuogopa huyu Gwadiola mnene maana hata mechi ya trh 23 na utopwinyo tutawafunga tena nyingi tuuuu
Ila nyie utopolo mbona mna gubu sana kuhusu Mgunda?Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu.