Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wewe zuzu haya ndio matokeo ya ule Udikteta wa KayafaSi mlikuwa mnamsakama na kumpa majina mabaya JPM, kisha baada ya kuondoka mkaanza kufanya tafirija?
Kuna GIZA na UTELEZI usiomithirika utajidhihirisha siku sio nyingi ndipo mtafahamu ukweli na kutafuta namna ya kuomba msamaha kwa kusingizia wengine wenye wenye nia njema kwa nchi.
Asante Sana Mkuu Kwa kumjibu huyo mpuuzi.Huyo JPM ndiye mshenzi aliyeanzisha siasa za kejeli na matusi! Aendelee kulaaniwa huko jehanam aliko!
Na tukiruhusu lazima nikuoe na nikvalishe khanga laini ya MombasaWanataka turuhusu ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji Kama kwao ndio waseme tunaheshimu Haki za binadamu.Tumegoma Kama Nchi ndio wanabweka
Kwahyo hutaki tena misaada?Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.
Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
Dah hii si yakufurahia wanyonge watalimia meno haswa na huduma kudorora na serikali itaongeza Kodi hadi za oksigen kufidia hilo gapYaani kuwapiga mkwara Maafsaa wa Balozi zao wasiende kusikiliza Kesi ya Kubambika ya Mbowe
Majibu yanaanza kupatikana... Kata mwanangu kata kata misaada usiogope kata.. kibwagizo kizuri
Nchi ikishaondoa Uwakilishi wake kwenye nchi nyingine wewe unapata picha gani?? Usiwaze misaada tu. Nikupe mf rahisi, Tanz wakiamua kususia bidhaa za China, unafikiri Wachina hawataathirika??Wamesema sisi sio maskini tena wewe unataka usadiwe hata Kama unajiweza
Wanahamia kwenye nchi maskini Sana na zenye migogoro hapa bongo kila kitu kipo POA
USSRView attachment 1912618
Wenzetu wamejiongeza kupunguza gharama, haswa kipindi hiki ambacho teknolojia inasaidia kurahisisha kazi kwa kiasi kikubwa
Tukumbuke Uchumi wa dunia kwa ujumla umeporomoka sana na kupunguza gharama za uendeshaji sio kwa Tanzania au Africa pekee.
Hata hapa Tanzania hakuna sheria inayozuia ushoga, na ndiyo sababu akina Amber Ruti wapo!Wanataka turuhusu ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji Kama kwao ndio waseme tunaheshimu Haki za binadamu.Tumegoma Kama Nchi ndio wanabweka
Mpuuzi kama wewe hawezi kuelewa.... nimekupuza rasmidhuu sikutegemea kama unaweza kuandika upuuzi kiasi hiki
Comrade hali mbaya ya demokrasia ya serikali katili ya CCM imewakimbiza na bado balozi nyingi zitafungwa TZ.Wenzetu wamejiongeza kupunguza gharama, haswa kipindi hiki ambacho teknolojia inasaidia kurahisisha kazi kwa kiasi kikubwa
Tukumbuke Uchumi wa dunia kwa ujumla umeporomoka sana na kupunguza gharama za uendeshaji sio kwa Tanzania au Africa pekee.
Acha kujitoa akili! Wanapeana misaada ya kiuchumi, kisiasa, kijeshi nk.Kuwa na Ubalozi kwenye nchi haimaanishi lengo ni kuipa nchi msaada Mkuu. Elewa kuwa hawa wanabalozi zao Marekani, UK, China, France, German nk. Hawapo kule kwa lengo la kutoa misaada.
Umechelewa sana kumgundua huyu jamaa anayejiita Mama 🤣🤣🤣dhuu sikutegemea kama unaweza kuandika upuuzi kiasi hiki
Sisi tulishatoka kwenye kuwaza basic needs ?Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.
Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
Demokrasia inabakwa kweuupe huku wabakaji wakishangilia. Ni kweli huu ni uovu WA JPM lakini mama huwezi achwa kwenye ushenzi ule kwani alikuwa number 2.Huyo JPM ndiye mshenzi aliyeanzisha siasa za kejeli na matusi! Aendelee kulaaniwa huko jehanam aliko!
Sasa si unaona ulivyoiweka hapo kuna nafasi nzuri zaidi ya ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi na nchi. Sasa Ubalozi unapofungwa? Sasa endelea na weka akili gear ya kuupanda mlima. Kushuka unaweza kuweka neutral tu!Acha kujitoa akili! Wanapeana misaada ya kiuchumi, kisiasa, kijeshi nk.