mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Huku duniani wakati dunia itakapokuwa na serikali moja...Kwa sasa ni maandalizi yake tu na yupo akawizae
Tutakua tushanyakuliwa mawinguni😃😃😃😃😃🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku duniani wakati dunia itakapokuwa na serikali moja...Kwa sasa ni maandalizi yake tu na yupo akawizae
😆😆😆bongo kila kitu kipo POA
Msamehe huyo muuguzi umri umekwendadhuu sikutegemea kama unaweza kuandika upuuzi kiasi hiki
You have weak brains, tena mnawaruhusu weakest wawaogoze mtapelekeshwa hata na kichwa kimoja kinachofukiri vizuri.Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.
Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
Msamehe huyo muuguzi umri umekwenda
Mkuu huwajui CCM wewe,kadri Donors wanavyotukataa ndivyo wananchi wanavyopewa Tozo kubwa kila kona.Taa ya tahadhari umekwisha washwa na Denmark kwa kuondoka nchini. Huu ni uamuzi mgumu sana kwa nchi ambayo imetufadhili tangu uhuru. Miradi mingi sana imejengwa kwa ufadhili wa Denmark. Kumbukeni walivyoisaidia nchi hii katika elimu ikiwa ni pamoja na elimu ya watu wazima, ujenzi wa shule na vyuo, kutoa mafunzo kwa wataalamu wa fani mbalimbali. Pia angalia sekta ya kilimo, maji, utawala bora, ujenzi wa barabara vijijini, budget support nk.
Tanzania kama nchi tutaathirika sana na uamuzi huu. Kuna kila sababu serikali ikajiangalia upya wapi imejikwaa. Haiwezekani kila siku tunawatukana, tunawakemea kwa mambo yetu ya hovyo na kuwaita mabeberu wakaendelea kutuvumilia.
Tukumbuke Denmark haipo peke yake katika kutoa misaada hapa nchini. Pia nchi zote za Nordic zinashirikiana na kuratibu kwa pamoja misaada yote inayoletwa nchini. Nchi hizo ni Norway, Sweden na Finland. Nchi hizi zilifika hata hatua ya kuigawana nchi hii ili kuleta uwiano wa maendeleo kama ifuatavyo; Norway - Rukwa ikiwemo Katavi na Kigoma; Denmark - Mbeya, Iringa na Ruvuma; Finland- Lindi na Mtwara; Sweden- Morogoro na baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Maeneo ambayo tunatakiwa kufanya mabadiliko ni pamoja na demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu. Tusijipe moyo kuwa tumeendelea na kwamba hatuhitaji misaada yao, hilo ni kosa la jinai! Tupunguze kijimwambafai na kutoa maneno ya matusi na kejeli. Wafadhili wetu wana moyo wa nyama wanaumizwa pia!
Wewe Boya kweli,kwa hiyo JPM ndo alikuwa mzuri,huyu Samia na JPM wote mavi tu ya mbwaSi mlikuwa mnamsakama na kumpa majina mabaya JPM, kisha baada ya kuondoka mkaanza kufanya tafirija?
Kuna GIZA na UTELEZI usiomithirika utajidhihirisha siku sio nyingi ndipo mtafahamu ukweli na kutafuta namna ya kuomba msamaha kwa kusingizia wengine wenye wenye nia njema kwa nchi.
Mnasikitika nini mbwa koko nyie CCM na bado mtakunyaWamesema sisi sio maskini tena wewe unataka usadiwe hata Kama unajiweza
Wanahamia kwenye nchi maskini Sana na zenye migogoro hapa bongo kila kitu kipo POA
USSRView attachment 1912618
Toka uhuru, tunafahamu kuwa Denmark, Norway, Sweden na Finland ziko pamoja.Taa ya tahadhari umekwisha washwa na Denmark kwa kuondoka nchini. Huu ni uamuzi mgumu sana kwa nchi ambayo imetufadhili tangu uhuru. Miradi mingi sana imejengwa kwa ufadhili wa Denmark. Kumbukeni walivyoisaidia nchi hii katika elimu ikiwa ni pamoja na elimu ya watu wazima, ujenzi wa shule na vyuo, kutoa mafunzo kwa wataalamu wa fani mbalimbali. Pia angalia sekta ya kilimo, maji, utawala bora, ujenzi wa barabara vijijini, budget support nk.
Tanzania kama nchi tutaathirika sana na uamuzi huu. Kuna kila sababu serikali ikajiangalia upya wapi imejikwaa. Haiwezekani kila siku tunawatukana, tunawakemea kwa mambo yetu ya hovyo na kuwaita mabeberu wakaendelea kutuvumilia.
Tukumbuke Denmark haipo peke yake katika kutoa misaada hapa nchini. Pia nchi zote za Nordic zinashirikiana na kuratibu kwa pamoja misaada yote inayoletwa nchini. Nchi hizo ni Norway, Sweden na Finland. Nchi hizi zilifika hata hatua ya kuigawana nchi hii ili kuleta uwiano wa maendeleo kama ifuatavyo; Norway - Rukwa ikiwemo Katavi na Kigoma; Denmark - Mbeya, Iringa na Ruvuma; Finland- Lindi na Mtwara; Sweden- Morogoro na baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Maeneo ambayo tunatakiwa kufanya mabadiliko ni pamoja na demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu. Tusijipe moyo kuwa tumeendelea na kwamba hatuhitaji misaada yao, hilo ni kosa la jinai! Tupunguze kijimwambafai na kutoa maneno ya matusi na kejeli. Wafadhili wetu wana moyo wa nyama wanaumizwa pia!
Kwa Mulamula this is a failure in diplomacy.Kipindi kama hiki sasa ndio unapo miss uwepo wa watu kama Nyerere au Augustine Mahiga na wengine wachache sanaaaaa.Mbwa zilizobaki zimejaa serikal ya tanzania ni kichefu chefu hata kuzitaja majina.Mulamula sijamsoma hata kidogo.Ni wa hovyo kupindukia
kama wakiona sisi hatutakiwi kuwa marafiki zao, tusiwalazimishe, na sisi tutafute na kuimarisha marafiki wapya. waache waende isijeonekana tunajibembeleza sana kwao, hata hivyo, Denmark wamefanya kipi kwa miaka hii 5 iliyopita? na hata ahadi zao nyingi ni za uongo, wanaahidi halafu hawaleti. wakwendee zao, shain.Taa ya tahadhari umekwisha washwa na Denmark kwa kuondoka nchini. Huu ni uamuzi mgumu sana kwa nchi ambayo imetufadhili tangu uhuru. Miradi mingi sana imejengwa kwa ufadhili wa Denmark. Kumbukeni walivyoisaidia nchi hii katika elimu ikiwa ni pamoja na elimu ya watu wazima, ujenzi wa shule na vyuo, kutoa mafunzo kwa wataalamu wa fani mbalimbali. Pia angalia sekta ya kilimo, maji, utawala bora, ujenzi wa barabara vijijini, budget support nk.
Tanzania kama nchi tutaathirika sana na uamuzi huu. Kuna kila sababu serikali ikajiangalia upya wapi imejikwaa. Haiwezekani kila siku tunawatukana, tunawakemea kwa mambo yetu ya hovyo na kuwaita mabeberu wakaendelea kutuvumilia.
Tukumbuke Denmark haipo peke yake katika kutoa misaada hapa nchini. Pia nchi zote za Nordic zinashirikiana na kuratibu kwa pamoja misaada yote inayoletwa nchini. Nchi hizo ni Norway, Sweden na Finland. Nchi hizi zilifika hata hatua ya kuigawana nchi hii ili kuleta uwiano wa maendeleo kama ifuatavyo; Norway - Rukwa ikiwemo Katavi na Kigoma; Denmark - Mbeya, Iringa na Ruvuma; Finland- Lindi na Mtwara; Sweden- Morogoro na baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Maeneo ambayo tunatakiwa kufanya mabadiliko ni pamoja na demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu. Tusijipe moyo kuwa tumeendelea na kwamba hatuhitaji misaada yao, hilo ni kosa la jinai! Tupunguze kijimwambafai na kutoa maneno ya matusi na kejeli. Wafadhili wetu wana moyo wa nyama wanaumizwa pia!
Akili za hivi zitaongozaje nchi sasa🙄Mkuu huwajui CCM wewe,kadri Donors wanavyotukataa ndivyo wananchi wanavyopewa Tozo kubwa kila kona.
Tuendako itakuja tozo ya ndoa, yaani wanakukadiria kwa mwaka mke wako huwa unamgonga bao ngapi,kama ni bao 60, wanafanya 60 X 500=30,000 Tega sikio utaona,CCM kinyesi kibichi cha mbwa Koko.
nordic countries sio nchi za kishoga, nchi ya kishoga ni UK. hata hivyo, wacha tu waende, wana midomo sana, kama bata vile.Wanataka turuhusu ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji Kama kwao ndio waseme tunaheshimu Haki za binadamu.Tumegoma Kama Nchi ndio wanabweka