Chonde Chonde wafuatao ni Finland, Norway na Sweden

JPM ndiyo chanzo cha matatizo yote
Chanzo cha matatizo gani acha upepe, JPM yupo?

Kiongozi wa nchi anatakiwa kuonesha mamlaka ipo inafanya kazi na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi hata kama kashauriwa vinginevyo kwa maslahi ya nchi.
 
Sisi tulishajiambia ni matajiri, natulishakubaliana kutembea kifua mberee, sasa tunawataka tuliowaita mabeberu wa nini tena? Na pia situliambiana hao wawatutakii mema? Kama wenyewe wametambua hayo na kwa hiari wameamua kuondoka tunawasiwasi gani? Au tuliyo kuwatunasema wapo tiliokuwa tunawadanganya kwakuwa tulijua hawajitambui?
 
Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.

Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
Achana na nadharia hatukuwahi kuwa nao sawa huo ndio ukweli. Usidhani hayo ma GDP yanasaidia maendeleo ya nchi
 
Your economic well-being is a function of both your income and wealth. What applies to you as an individual applies to a nation as well.

We have to improve our economic well-being by ulitilising our available resources and talents. We must never depend entirety on foreigners for our prosperity.

They extended a helping hand in our effort to provide basic wants eg, water, sanitation,education, modern agricultural technics, rural and feeder roads, etc.

We must now move with speed with or without them. From entire European Community we receive €60 m. Annually, what a help? the rest is loans or grants.
 
Katika kuondoa ubalozi kuna mambo mengi yanadhirika
-uwekezaji na biashara
-utalii na usafirishaji
-mahusiano na ushirikiano
-misaada na ufadhiri.
Sasa tujiulize kwanini wameamua kutaka kuondoa ubalozi ina maana hayo mambo yote yamekosa mvuto au msukumo? Hiyo ni wake up call!!!, Tutakuja kustuka tumebaki na ubalozi wa China tu maana hata hawa mabalozi waliojitambulisha karibu watano balozi zao ziko kenya
 
Chanzo cha matatizo gani acha upepe, JPM yupo?

Kiongozi wa nchi anatakiwa kuonesha mamlaka ipo inafanya kazi na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi hata kama kashauriwa vinginevyo kwa maslahi ya nchi.

JPM yupo? mkuu umesahau kama alikufa nini?
 
Mwisho wa tawala kandamizi duniani kote ni kutengwa kimataifa kisha kuanguka kwake. Hii ni kanuni ya kihistoria,and we are not exceptional.

Tatizo lilianzia kwa Meko na sasa huyu mrithi kwa ujinga wake wa copy and paste anaendeleza, hakuna nchi makini inaweza kushirikiana na tawala kandamizi.
 
Tuendelee kula mchuzi wa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Wenzetu wamejiongeza kupunguza gharama, haswa kipindi hiki ambacho teknolojia inasaidia kurahisisha kazi kwa kiasi kikubwa

Tukumbuke Uchumi wa dunia kwa ujumla umeporomoka sana na kupunguza gharama za uendeshaji sio kwa Tanzania au Africa pekee.
Watu wanasoma kama kusoma shule ya msingi....Read between the lines...Its a global reset, tunaondoka kwenye serikali za nchi tunaenda kwenye serikali ya duania...Get prepared guys...Acheni kupenda dezo, fanyeni kazi....Angalau mimi nauhakika nipo kuchelewesha hiyo global reset isije kwanza na ikishatimilika off I go sintokuwepo huku tena...
 

Hutokuwepo tena wapi Ame😳😳
 
Vile CCM wanajifanya kuupiga mwingi kupitia mgongo wa Polisi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi wakati wameshapitwa na wakati na pumzi ilishakata siku nyingi sana!😁😁😁
View attachment 1912204
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…