Chonde Chonde wafuatao ni Finland, Norway na Sweden

Kinachogomba hapa siyo misaada tu bali hata watalii watapungua kutoka Nordic countries na hivyo kupunguza mapato ya nchi ambayo tunayahitaji sana kwa maendeleo yetu!
 
Hakuna jipya hata wakisepa,tuna nchi nyingi Sana Duniani tunaganya nao biashara nk lakini hata hazina balozi.

Kikubwa waliofunga ubalozi hawajasema wamesitisha mashirikiano ya kidiplomasia nk.
Kwa nchi kama Denmark kuna uwezekano mkubwa wa watalii kutoka huko wakapungua.
 
Kwa nchi kama Denmark kuna uwezekano mkubwa wa watalii kutoka huko wakapungua.
Wapungue tuu,kwani Waisrael wameanza kuja juzi nani kawaita? Wachina na Warusi je?

Ni hivi utalii na hayo mambo havihusiani,kwamba mtalii aache kuja kula maisha kwa kuwa serikali yake haina ubalozi? Kenya kuna ubalozi utaratibu hizo shughuli zao Bongo.
 
Kama ingekuwa ni sababu ya kuitwa mabeberu na kujimwambafy...basi wangeondoka wakati Tz ilipokuwa na rais🤔! Kwa sasa hiyo siyo sababu...balozi Mulamula na wenzie watuambie tu kuwa wamepoteza mvuto😃😀😃!
Halafu tuache unafiki, kikiwa kitu kizuri harakaharaka mnampa sifa huyu mama wakati kikiwa kibaya harakaharaka mnamtupia baba mfyuuuuuu, mkome Mara1 😡!
 
Wazungu wametuchoka.
Wao wanatoa misaada kina slow slow wanagawa ma V8 kwa makatibu wa wilaya wa CCM watu ambao hawazalishi.
Wazungu wanatoa misaada , serikali inadununua magari ya washa washa.
 
Unaropoka tu!
 
Nchi inamshinda mtu sasa.
 
Uchumi wa kati usitegemee sana misaada ya masharti, wao wamechuma wameshiba na kuvimbelea...wakalie nini tena
Ubalozi hauondolewi kwa sababu tumeingia uchumi wa kati. Uingereza, ujerumani nk.k wasingeluwa na sababu za kuwa na balozi zao US. Hivyo jiongeza uache kufikiri kama kk
 
Wote ni washenzi tu!
 
Inaelekea hujawahi kutoka hata nje ya mkoa unaoishi!
 
Maovu mengi yaliyofanywa na utawala wa marehemu Magufuli, matokeo yake yataanza kuonekana wakati wa awamu ya 6.

Samia alichoharibu ni kuwa popo, si mnyama si ndege, si moto si baridi. Mara anasema anataka kusimamia haki, mara yeye na Magufuli ni sawa, mara anafuta kesi za kubambikia watu, mara anawabambikia watu. Kuwa na ushirikiano na mtu kama huyo ni kupoteza muda.

Wenye akili wanataka mtu aliyenyoka kifikra, kauli na kimatendo, siyo mbabaishaji. Marehemu, Dunia nzima ilikuwa inamjua ni dikteta, lakini huyu haeleweki.
 
Yaani kuwapiga mkwara Maafsaa wa Balozi zao wasiende kusikiliza Kesi ya Kubambika ya Mbowe

Majibu yanaanza kupatikana... Kata mwanangu kata kata misaada usiogope kata.. kibwagizo kizuri
Mulamuka, kwa ujinga mkubwa, alisema eti anawaonya mabalozi kama vile hao mabalozi ni watoto wake. Hajui kuwa mabalozi wanawajiwabika kwa nchi zao na siyo kwake. Kama kuna malalamiko ya msingi alitakiwa kuyapeleka kwenye mataifa yao.

Viongozi wetu wanalitia aibu Taifa kiasi cha kuifanya nchi ionekane ni ya waendawazimu watupu.

Tunavyoenda, kuna siku tutabakia na ubalozi wa Burundi, Msumbiji, Zimbabwe na Somalia.
 
Ulitaka wafanye nini wakati dikteta Magufuli anatembea na mfuko wa hazina kama fedha zake binafsi na kujenga Chato!
nordic countries walikuwa na interest na gas yetu kwa kampuni ya orphil (kama sikosei), kama wamechukua si ukute serikali imewapiga chini....hahaha, tupa mbali huko takataka hao.
 
Soma budget speech zote za hiyo miaka uona namna mawaziri wote wa fedha walivyosaidia budget yetu!
ifike kipindi tujitegemee, hata ikiwa kwa kurudisha kodi ya kichwa. hatutakiwi kulamba watu makalio milele.
 
We nawe bwege, unalinganishaje Tanzania na hizo nchi ulizozitaja
Matusi na karaha hata siku moja havijawahi kuwa vifaa vya kuboreshea mawaidha ya mtu au ku-validate mawazo ya mtu. Huo ni udhaifu wa kwanza kuonyesha unataka kutumia mabavu kueleweka. Mwingine amejichanganya kuonyesha hatuhitaji uhusiano nao lakini anakiri kuwa watalii watapungua na itaathiri uchumi wa nchi. Hili ni tatizo tulilo nalo na in fact ni la kimfumo, Diplomasia na Unafiki havipikiki. Hao unaowaona leo hatuwezi kujilinganisha nao ie China, hawakufika hapo kwa kukataa, au kukatisha tamaa Balozi za nchi nyingine, waliishi nao wakibadilishana nao mawazo kimkakati mpaka wakafika hapo walipo sasa hata kuwazidi baadhi yao.
 
Jpm alikuwa hopeless huenda na huyu naye ni hopeless zaidi hakuna mtu na akili timamu anaweza mkumbuka jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…