johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao wanachama wa Simba ambao ni wafanyabiashara wa Kihindi na Kiarabu siyo watanzania?Taifa Stars Ni Timu Ya Wananchi Na Wazalendo Kama Ilivyo Yanga . Simba Ni Timu Ya Wafanyabiashara Wa Kihindi Na Kiarabu .
Na huu ndo upumbavu kiwango cha SGRTaifa Stars Ni Timu Ya Wananchi Na Wazalendo Kama Ilivyo Yanga . Simba Ni Timu Ya Wafanyabiashara Wa Kihindi Na Kiarabu .
Hivi unajua jpm na majaliwa ni Simba?Taifa Stars Ni Timu Ya Wananchi Na Wazalendo Kama Ilivyo Yanga . Simba Ni Timu Ya Wafanyabiashara Wa Kihindi Na Kiarabu .
Na Yanga ni timu ya CCM!Taifa Stars Ni Timu Ya Wananchi Na Wazalendo Kama Ilivyo Yanga . Simba Ni Timu Ya Wafanyabiashara Wa Kihindi Na Kiarabu .
Huyo mkinga hajui mpira......yeye muulize habari za misukule ya kutafutia mamilioni tu maana laki si pesa!
Umemsikia RC Hapi lakini kuhusu 2020?Waambie wana CCM wenzako!!
Acha aendelee kuota ndoto zake za alinacha!!Umemsikia RC Hapi lakini kuhusu 2020?
Hahahaa....... Iringa siyo kinondoni!Acha aendelee kuota ndoto zake za alinacha!!
Usizungukezunguke. Walioiteka hii mechi na kuanza kuhamasisha kiramli Ni makada wa chama chako wakiongozwa na DAB. Go to the point. Acha unafiki wa kitoto.Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.
Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?
Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo la CCM Iringa badala ya kujenga chama chao wao wako bize kushindana na Msingwa. Msigwa hajichaguwi bali huwa anachaguliwa na wana Iringa.Hahahaa....... Iringa siyo kinondoni!
Nakubaliana na wewe kuwa kushindwa kwa CCM kunatokana na wao kukosa wagombea bora tena wazawa.Tatizo la CCM Iringa badala ya kujenga chama chao wao wako bize kushindana na Msingwa. Msigwa hajichaguwi bali huwa anachaguliwa na wana Iringa.
Wao wanadhani eti kushindwa kwao kunatokana na wao kutokuungana, siyo kweli. Iringa wana CCM kwani wako wangapi hadi kuungana kwao ndiyo wawe na ushindi? Hawana wagombea bora na mbaya zaidi walipotoshwa kununua Madiwani wa CHADEMA ambao ushindi wao kwa asilimia kubwa ulichangiwa na Msingwa mwenyewe.
Hakuna hata diwani mmoja aliyekwenda CCM toka CHADEMA ambaye alishinda kwa ushawishi wake mwenyewe bila ya kuchangiwa na ushawishi wa Msingwa.
Timu ya taifa ni ya watanzania wote, sio ya ccm, chadema, cuf ama ACT. Tuache ushabiki wa kizembe. Chama chochote kitakacho hamasisha mavazi ya kichama kwenye mambo ya kitaifa ni kosa hata kiwe chama changu kipenzi.Waambie wana CCM wenzako!!
Kwenye kikao kile kabla ya Mwalimu kuondoka nilikuwemo. Iringa wanajua wamtakae halafu wao CCM wagombea wao hutoka Dar es salaam pale kwenye vikao vyao vya pale Makumbusho.Nakubaliana na wewe kuwa kushindwa kwa CCM kunatokana na wao kukosa wagombea bora tena wazawa.
Nakumbuka hata mwaka 1995 wakati mwalimu Kibassa anashinda ubunge dhidi ya Dr Kitine, wazee wa Iringa walimwambia Nyerere alipokuja kumkampenia Mkapa kuwa Rais tutakuchagulia lakini mbunge tunachagua wenyewe hatupangiwi.
Umesoma alichoandika mleta mada na unajua kinachoendelea hususani kuhusu timu hiyo ya Taifa?Timu ya taifa ni ya watanzania wote, sio ya ccm, chadema, cuf ama ACT. Tuache ushabiki wa kizembe.
Hahahaa...... Hata siku ya kutangaza matokea nilikuona pale mnara wa saa na mawe yako mkonono....hahahaa nyie wadimi mlikuwa wakorofi sana!Kwenye kikao kile kabla ya Mwalimu kuondoka nilikuwemo. Iringa wanajua wamtakae halafu wao CCM wagombea wao hutoka Dar es salaam pale kwenye vikao vyao vya pale Makumbusho.