Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mimi siyo mdimi na sikuwa miongoni mwa wabeba mawe wala vidumu vya Petroli. Mwalimu Kibasa alituangusha sana wanafunzi wake na watu wa Iringa na inawezekana yeye akawa ndiye Mbunge wa viwango vya chini sana kuliko wengine wote waliowahi kuwa wabunge wetu.Hahahaa...... Hata siku ya kutangaza matokea nilikuona pale mnara wa saa na mawe yako mkonono....hahahaa nyie wadimi mlikuwa wakorofi sana!