Chonde chonde wanasiasa msiigeuze mechi ya Taifa Stars vs Uganda kuwa uwanja wa kupromoti sera zenu

Hahahaa...... Hata siku ya kutangaza matokea nilikuona pale mnara wa saa na mawe yako mkonono....hahahaa nyie wadimi mlikuwa wakorofi sana!
Mimi siyo mdimi na sikuwa miongoni mwa wabeba mawe wala vidumu vya Petroli. Mwalimu Kibasa alituangusha sana wanafunzi wake na watu wa Iringa na inawezekana yeye akawa ndiye Mbunge wa viwango vya chini sana kuliko wengine wote waliowahi kuwa wabunge wetu.
 
Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.

Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?

Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.

Maendeleo hayana vyama!
mungu ibariki UGANDA the crains. itufunge zaidi ya magoli 3-0 hili ni taifa lililo laaniwa
 
Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.

Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?

Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.

Maendeleo hayana vyama!
Unaotaka kuwaambia unawaogopa? Ila wakivaa mashati yao ya kisamvu tunatinga zambarau, kama mbwai iwe mbwai!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siyo mdimi na sikuwa miongoni mwa wabeba mawe wala vidumu vya Petroli. Mwalimu Kibasa alituangusha sana wanafunzi wake na watu wa Iringa na inawezekana yeye akawa ndiye Mbunge wa viwango vya chini sana kuliko wengine wote waliowahi kuwa wabunge wetu.
Hahahaa...... Kibasa mwalimu wangu wa Chemistry yule katika ile shule iliyokuwa na walimu maTX nadhani unaijua!
 
Wa tz nani katuroga? Mechi ya taifa stars vs uganda na siasa wapi na wapi, tuwen wazalendo basi. Ndio maana hatuendelei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.

Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?

Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.

Maendeleo hayana vyama!
Kawaambie wana ccm wajinga wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaambie wana ccm wajinga wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga bwashee hapo Ufipa pamejaa CCM watupu wala usijidanganye.
Mbowe kijana wa Lowassa.......... CCM
Mashinji kijana wa Lowassa............ CCM
JJ Mnyika kijana wa Malecela............ CCM
Mwalimu kijana wa RA.................CCM

Naomba niishie hapo maana nikiendelea mbege itakutiririka!
 
Back
Top Bottom