Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mimi siyo mdimi na sikuwa miongoni mwa wabeba mawe wala vidumu vya Petroli. Mwalimu Kibasa alituangusha sana wanafunzi wake na watu wa Iringa na inawezekana yeye akawa ndiye Mbunge wa viwango vya chini sana kuliko wengine wote waliowahi kuwa wabunge wetu.Hahahaa...... Hata siku ya kutangaza matokea nilikuona pale mnara wa saa na mawe yako mkonono....hahahaa nyie wadimi mlikuwa wakorofi sana!
mungu ibariki UGANDA the crains. itufunge zaidi ya magoli 3-0 hili ni taifa lililo laaniwaNimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.
Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?
Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.
Maendeleo hayana vyama!
Achana nae boya huyo kila siku wanamlilia Manji hawaoni kwamba ni mfanyabiashara mwenye asili ya ki asia?Hao wanachama wa Simba ambao ni wafanyabiashara wa Kihindi na Kiarabu siyo watanzania?
Yanga sijui wana nini mwaka huu!!Achana nae boya huyo kila siku wanamlilia Manji hawaoni kwamba ni mfanyabiashara mwenye asili ya ki asia?
Unaotaka kuwaambia unawaogopa? Ila wakivaa mashati yao ya kisamvu tunatinga zambarau, kama mbwai iwe mbwai!Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.
Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?
Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa...... Kibasa mwalimu wangu wa Chemistry yule katika ile shule iliyokuwa na walimu maTX nadhani unaijua!Mimi siyo mdimi na sikuwa miongoni mwa wabeba mawe wala vidumu vya Petroli. Mwalimu Kibasa alituangusha sana wanafunzi wake na watu wa Iringa na inawezekana yeye akawa ndiye Mbunge wa viwango vya chini sana kuliko wengine wote waliowahi kuwa wabunge wetu.
Kawaambie wana ccm wajinga wenzakoNimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi.
Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama tunaweza kuuweka pembeni usimba na uyanga wetu kinatushinda nini kuweka itikadi za vyama pembeni?
Wafuasi wale wa ACT wazalendo waliokuwa wanahamasishana naamini watanisoma na kuachana na mpango wao.
Maendeleo hayana vyama!
Mbwiga bwashee hapo Ufipa pamejaa CCM watupu wala usijidanganye.