Chonde Kanisa Katoliki, historia inatuhukumu

Niliandika miaka mingi na nikaweka links za ushahidi uharamia unaofanywa na Kanisa Katoliki.

Licha ya ushiriki wao mauaji ya kimbari Rwanda pia wanashiriki katika kila uhalifu wa kutisha kuanzia kulawiti watoto wadogo, mapadri na makasisi kulawitiana wao kwa wao ndani ya pazia la kanisa. Kutakatisha frdha chafu, kujihusosha na magendo na ufisadi mkubwa mkubwa duniani.

Hili kanisa ni janga la Kimataifa. Nawashangaa wanaolishabikia.

Hakika dini kwa Mwenyeezi Mungu ni Uislam.
 
Mkuu umeandika bandiko la kufikirisha sana..kama yakija kutokea machafuko ntaomba nitumie andiko lako kama rejea kuwa kuna watu walishatoa tahadhari mapema na wakapuuzwa.
 
.....hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.......


Ningekuwa na tatizo kubwa kama ningekuamini.
Hawa viongozi wa dini ni wakizazi kipya,viongozi wa kweli walisha enda mile ya haki.
 
Kwa nini wakiongea kkkt ni vigeregere kwa bavicha na wakiongea rc ni full povu kw bavicha?

Kwa taarifa yako yoyote anayesimamia haki lazima tumsifu, na yoyote anayetetea udhalimu tunampa ukweli wake. Katika hilo hatuangalii anayesimamia haki ni wa dini gani. Kama huamini ngoja siku hao KKKT waunge mkono udhalimu uone mziki wake.
 
Hili andiko emelitendea haki na hawa maskofu wameyataka wenyewe mpka kina faiza wanasema mambo ya kurirana wao kwa wao .wangesimama ktk haki yoye ya chumbani yangebaki chumbani nasubiri mkatoliki mwenzagu pascali mayala(njaaa) akija ni tag
 
Pengo unanini? Jumamosi umesema waumini wapeleke Tegemeza Jimbo pale MSIMBAZI hivi huoni aibu?unataka nifike na bakora hapo kanisani?alaaaaa
 

Attachments

  • Orz5BR0FuW8X7Hcq.mp4
    2.6 MB
Hili kanisa ni LA kuomba misamaha tangu zama za Greek/ uyunani ya akina "Galilei Galileo",

Sikh wakiruhusu mapadri kuoa watamwomba tena msaha Martin Luther.

Labda baada ya mauaji ya Halaiki kutokea hapa TZ watakuja kuomba msahama kama kule Rwanda
.... mapadri waoe ili iweje?
 
.... mkuu huku kuna mihemko ya hali ya juu na kufuata mikumbo tuu!

.....leo wote tunaoambiwa kila siku hawapendi kujisomea wanajidai wasomi, wanazijua habari za kanisa katoliki tu!
 
..... ningeshangaa nisingekuona hapa, unajidai wewe hujawahi kuona habari za walimu wa madrasa wanavyochezea watoto wenu!

NB. Hebu soma wito wa sheikh wenu wa dsm uone leo kazungumza nini, usipende kukurupuka bibi!
 
[emoji3][emoji3] leo wanatoka povu mbaya
.... mkuu huku kuna mihemko ya hali ya juu na kufuata mikumbo tuu!

.....leo wote tunaoambiwa kila siku hawapendi kujisomea wanajidai wasomi, wanazijua habari za kanisa katoliki tu!
 
"Viongozi wahubiri amani na mshikamano, kama hawawezi basi waendelee kuhubiri dini na mambo mengine. Tayari kuna watu wanaamini Kanisa haliwezi kukemea serikali inapofanya hujuma kwa wapinzani kisa Rais ni mkatoliki"
 
..... ningeshangaa nisingekuona hapa, unajidai wewe hujawahi kuona habari za walimu wa madrasa wanavyochezea watoto wenu!

NB. Hebu soma wito wa sheikh wenu wa dsm uone leo kazungumza nini, usipende kukurupuka bibi!
Huo ndio ukisikia ujinga wenyewe.

Unafikiri hao watoto wanaolawitiwa makanisani sisi hawatahusu? Hao sisi wanatuhusu zaidi kuliko unavyofikiria.

Watoto wote ni wetu sote. Kumbuka hilo.

Ukishasema "mtoto" basi elewa kuwa kila mtu mzima ni jukumu lake kuhakikisha huyo mtoto anaishi kwa salama na amani na anamlindia haki zake zote.
 
.... na wanaolawitiwa misikitini madrasa hawakuhusu sio!, wewe bibi wacha kukurupuka.
 
Mtaelewa tu tunaposema dini zikae mbali na siasa. Wao wamtangaze Mungu wao tu, siasa sio zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…