Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

CCM inaangalia kwanza wenye akili japo kidogo hata kama ni wa TLP inachukua. Huko kwenu watamchagua nani?
 
Ilikuwa ni sahihi wangewasamehee waliponzwa
 
Wasipokelewe na kupewa vyeo kivipi wakati wasaliti wote wanaotoka CHADEMA wanaakili kuliko CCM wote.
 
Usihofu tuna Kinana kule ni kiongozi smart yule.
 
Hawa wanaingia ACT na huko wataiua kabisa CHADEMA count my words.
yap hata mm nilifikiri hivyo awa wanakimbilia kwa zito kabwe na trust me 2025 wataukwaa ubunge karibia wote ACT wajipange vizuri kucheza karata hii
 
Kwani CCM ni ya kwako? kama waliomba tunaweza kuwapa uanachama na wakaendelea kuwa wabunge unaumia kwa lipi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roho ya uasi ni mbaya sana ikimshika haimuachi hadi atimize uasi.
Nimemhurumia sana Mdee na Nusrat Hanje.
Mdee;
Amepitia magumu mengi chamani...
Amrumizwa na amepigania chama siku nyingi.
Hata Mbowe alipomwita gerezani na kumwambia...Halima acha ubunge ksma unataka kazi nitakutafutia hata nje ya nchi hakusikia maskini.

Hanje.
Amesota jela siku 153.
Bado akakubali ofa ya shetani maskini.
Ni binti amepitia maisha magum mno kifamilia..hana wazazi analea wadogo zake.
Lakini shetani akamtongoza.

Njaa ni mbaya;
Biblia yasema; atakayevumilia mpaka mwisho ndiye ataokoka.

Poleni dada zetu.
 
Walikua na chance kubwa ya kupata ukimbizi wa kisiasa duniani na kuieleza dunia ubabe wa maliemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…