Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.

Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine yatatolewa ya kufukuzwa uanachana na ikatokea hivyo, Chondechonde wasifikiriwe kwa vyeo kwanza hata wakiamia CCM kwa Sababu

1. Wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

2. Wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

3. Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

4. Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

5. Wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
Kwa hiyo Samia kuwapa vyeo Katambi, Silinde, Lijualikali, Mashinji, Nasari na Queen Sediga amekukosea wewe?.

Yeye mwenyewe alishasema atafanya kazi na mtu yeyote hata kama ni mpinzani ilimradi atatimiza majukumu.

Mimba ya Magufuli inakusumbua. Nenda chato ukajifungue kwanza.
 
Imewahi tokea kipindi Cha kikwete??au ni uyu Mzee wa visasi,hayati+marehemu??
Tatizo nyie watu ndo mana nyie watu mnapewa majina ya ajabu. MnaNYUMBUlika sana kwenye comment zenu. Mna chuki na Magufuli. CCM wanafanya haya mambo ya kukaribisha wanaotoka upinzani siku nyingi. Mnamkumbuka Steven Wasira, Dr Amani Kaburu, Dr Masumbuko Lamwai, wote hawa haikuwa wakati wa Magufuli! Na wote walilamba vyeo. Fikirini kwanza kabla hamjapayuka. Namshangaa sana Nape...
 
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.

Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine yatatolewa ya kufukuzwa uanachana na ikatokea hivyo, Chondechonde wasifikiriwe kwa vyeo kwanza hata wakiamia CCM kwa Sababu

1. Wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

2. Wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

3. Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

4. Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

5. Wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
Hao wapo CCM muda mrefu sn
 
Back
Top Bottom