hapa wakulima pia wanatoa tahadhari litakuja la kutokea hawa wamefumba machoKama imeandikwa hukumu, hata umuandikie nani, Cha msingi nenda mahakamani katetee haki yako, Waziri hawezi kutengua hukumu.
Wanakwambia ati "hukumu za mchongo" Sasa sijui Wana mahakama zao ambazo zinahukumu zisizo za mchongo?Kama imeandikwa hukumu, hata umuandikie nani, Cha msingi nenda mahakamani katetee haki yako, Waziri hawezi kutengua hukumu.
Wanakwambia ati "hukumu za mchongo" Sasa sijui Wana mahakama zao ambazo zinahukumu zisizo zaMalalamiko ya wananchi ya walakini. Inaonesha eneo ni Halali kwa Kambenga ila kama kawaida ya tabia ya wananchi wa Bonde la Kilombero ni majungu na kulialia kutafuta huruma.
Washaurini waende mahakamani
Wanae ndio wanaendeleza mtitiWanakwambia ati "hukumu za mchongo" Sasa sijui Wana mahakama zao ambazo zinahukumu zisizo za
Hao wanakijiji walizipata wapi hizo Hekta 1000 kwa pamoja?Wanae ndio wanaendeleza mtiti
Hukumu za mchongo yaani hata mtoto anaelewa . kwa kifupi Kambenga Family Haina hati yoyote ya umiliki eneo Hilo Mali ya Wana kijiji
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
uamuzi uliishatolewa na mkuu wa mkoa Martin Shigela aliumaliza baada ya makaratasi ya kambenga kuonekana hayana mashiko akatulia sasa ameanza tenaSasa Kama huyo kambenga Hana haki na hiyo ardhi na nyinyi ndio wenye haki si muende mahakamani,kwa nn mnataka huruma ishike nafasi na sio Sheria,?