Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Hiyo ni tabia yake kwenye kuhusiana na anao tafautiana nao
 
Comrade
Hafla ilihusu Nishati
Pili, NW na MZEE ni *wamoja*
Hakuna kilichorukwa

Pambana na hali yako

Chief Economist
 
Waziri wa mambo ya nje naona hana furaha na kile cheo,kwa sura tu ukimtazama Dr. Mahiga unatabanai. Kazi iko awamu hii,
 
Uganda mafuta ni yake lakini Tanzania gesi si yetu kwasababu ya mikataba mibovu.Pammoja na kugundua visima vyenye gesi asilia nyingi.
Ndio maanake Raisi Magufuri hakutoa ruksa kamili,nafikiri hadi aipitie mikataba mibovu ya tapeli Muhongo na wengine ndio atakuwa na nguvu ya kusema.
Pia wataalamu wa mafuta wanaanchi wa Uganda watakuja kusaidia Tanzania utafutaji wa mafuta yaonekana TPDC ipo njia panda haina ujuzi.
 
We ulitaka wachekewe chekewe
Hao wakenya wangekuwa wanajali diplomasia wasingekuwa wanasema Mlima Kilimanjaro uko kwao

Mada nyingine hovyo sana
 
Nimemskia akiwaambia waliokosa fursa ya bomba kupita kwao wamenuna na watanuna sana mane ambayo ni kama kuwanga waliokosa nimejiuliza kwa kiongozi wa nchi nisahihi kutoa lugha hiyo kwa afya ya ujirani mwema?

Sent using Jamii Forums mobile app
USIONGEZE NENO lolote ambalo rais JPM HAKULIZUNGUMZIA.
Alizungumzia KIUJUMLA tu/ In GERERALITIES.Na HAKUTAJA NCHI, JINA, ama TAIFA lolote.

Ni vyema tuwe WAKWELI!
Kile Rais alichokisisitiza ni watu wa TANGA WAAMUKE na KUFAIDIKA kutokana na maendeleo yanayowajia ikiwa ni PAMOJA na UMUHIMU wa BOMBA la mafuta na KIWANDA kikubwa sana cha sementi ktk AFRIKA MASHARIKI NZIMA kitakapojengwa Tanga.

Huku AKITUMIA HEKIMA, alisema WENGI walitaka BOMBA lipitie kwao. HAKUTAJA NCHI wala JINA
KIWANDA kitakachoirudisha Tanga kama sehemu ya viwanda. Ikiwa ni pamoja na kujenga BARABARA ya LAMI toka TANGA mpaka Bagamoyo kama ilivyokubaliwa katika EAC.

Huku akiwapa RAI ya kuweka uwekezaji maana WAGENI wengine imebidi WALALE mbali hadi HANDENI maana Hotel za Tanga zilikuwa ZIMEJAA.

Jambo lingine ni la wale waliochukuwa ARDHI bila kuiendeleza/For speculation purposes,
ITACHUKULIWA baada ya kamati husika ya serikali kuwapa SIKU 90.

Nawale watakapopewa ARDHI WASIPOITUMIA WATANG'ANYWA pia. Hii ni kuwapa MOTISHA watu WASIWE WAVIVU na kutaka vya BURE bila kuvitumia.

MRADI wa barabara Tanga to Bagamoyo 170 Kms utafadhikiwa na WAFADHILI wa BENKI ya maendeleo ya AFRIKA.
Hayo mengine ni YAKO mwenyewe.
Sijui umeyapata wapi mkuu.
 
Magufuli ni rais mjinga kabisa aliyewahi kutokea Tanzania.

Anaweza kusababisha vita ya kijinga sana. Kwa kauli zake za ovyo ovyo tu.

Sent from my Kimulimuli
Acha uoga mtt wa kiume. Kama wamenuna wasiambiwe? Waache wivu kila kizuri kiwe chao tu?Ni sawa na wanaume wawili kutaka kumuoa binti sasa ktk kupropose kakubaliwa mmoja eti aliekataliwa ananuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao ya Kenya iliyosema Mseven haji hiyo ni sahihi, ila magufuli kusema wanune tu ni kosa, kwani nyie mnafikiri Kenya ni nani hapa duniani? USA or china or EU ambao hawasemwi, hamuwezi kuwa na ujirani mwema wa pande moja tu kusema pande nyingine, nasupport kauli ya Rais 100%. Huu sio muda wa kubembelezana, Tanzania tumetoka katika dhama hizo tumewaachia wao.
 
Walikuwa na hofu ya kufungiwa kwa kitendo cha kuonyesha matukio live ambacho kilipigwa marufuku.
 
Acha uoga mtt wa kiume. Kama wamenuna wasiambiwe? Waache wivu kila kizuri kiwe chao tu?Ni sawa na wanaume wawili kutaka kumuoa binti sasa ktk kupropose kakubaliwa mmoja eti aliekataliwa ananuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umezoea mipasho hii habari ya diplomasia za kimataifa ni kitu tofauti kabisa.

Sent from my Kimulimuli
 
Sheria ya mitandao inasemaje nikiweka LIKE kwenye RED!
Nitambatiza mtu jina "Magufuli" na kumpa cheo cha rais wa wakwezi wa minazi.

Ili tu niweze kusema "Magufuli ni rais mjinga kabisa aliyewahi kutokea Tanzania" bila matata.

Sent from my Kimulimuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…