Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Mmebakia mipasho tu...nchi yenu elimu duni, uchumi duni, akili duni, afya duni, hamna muelekeo mna kazi ya kuongozwa na matamko tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaongea kama babu anawasimulia wajukuu zake hadith za zamani.
Nawashangaa wanaosema Rais hakosolewi akikosolewa,I think ingekuwa hivyo saizi mkuu ungekuwa ndani kwa Uzi wa uchocheziNgoja Jingalao aje!
USIONGEZE NENO lolote ambalo rais JPM HAKULIZUNGUMZIA.Nimemskia akiwaambia waliokosa fursa ya bomba kupita kwao wamenuna na watanuna sana mane ambayo ni kama kuwanga waliokosa nimejiuliza kwa kiongozi wa nchi nisahihi kutoa lugha hiyo kwa afya ya ujirani mwema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uoga mtt wa kiume. Kama wamenuna wasiambiwe? Waache wivu kila kizuri kiwe chao tu?Ni sawa na wanaume wawili kutaka kumuoa binti sasa ktk kupropose kakubaliwa mmoja eti aliekataliwa ananuna.Magufuli ni rais mjinga kabisa aliyewahi kutokea Tanzania.
Anaweza kusababisha vita ya kijinga sana. Kwa kauli zake za ovyo ovyo tu.
Sent from my Kimulimuli
Walikuwa na hofu ya kufungiwa kwa kitendo cha kuonyesha matukio live ambacho kilipigwa marufuku.Television kongwe na kubwa kuliko zote nchini ITV imetia aibu leo katika kurusha matangazo yake mubashara kutoka Tanga ukilinganisha na television zingine katika upande wa ubora wa picha.. Picha zirushwazo na ITV ni chafu na zimefifia mno zinatia aibu.. Hongera sana kwa Clouds Tv kwa kurusha picha zenye ubora wa HD na zenye mng'ao na wa hali ya juu.. Yaani hadi TBC imeizidi ITV kwa ubora wa picha za mubashara kwa leo aisee aibu sana ITv.
Sent from iphone 7 plus
Magufuli ni rais mjinga kabisa aliyewahi kutokea Tanzania.
Anaweza kusababisha vita ya kijinga sana. Kwa kauli zake za ovyo ovyo tu.
Sent from my Kimulimuli
Wewe umezoea mipasho hii habari ya diplomasia za kimataifa ni kitu tofauti kabisa.Acha uoga mtt wa kiume. Kama wamenuna wasiambiwe? Waache wivu kila kizuri kiwe chao tu?Ni sawa na wanaume wawili kutaka kumuoa binti sasa ktk kupropose kakubaliwa mmoja eti aliekataliwa ananuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali na nimeelewaHatutaki peasant kuzaa peasant mwingine.
Nitambatiza mtu jina "Magufuli" na kumpa cheo cha rais wa wakwezi wa minazi.Sheria ya mitandao inasemaje nikiweka LIKE kwenye RED!