Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Sasa kama unampenda si umwambie kuwa unampenda ili akufikirie
 
Wakuu,

Niko hapa nafuatilia pia, alichosema CEO wa TOTAL kuwa hili bomba ni world longest electrically heated oil pipeline, na sio bomba refu kuliko yote... key word hapo ni "electrically heated"
Hapo ni sawa ndio maana tunasema mambo ya wataalamu wawaachie wataalamu wenyewe wayaseme.
Maana ukiisoma habari husika unaweza kulia na ukafananisha na uhalisia:

The world's longest crude oil pipeline is the Interprovincial Pipe Line Inc. installation, which spans the North American continent from Edmonton, Alberta, Canada through Chicago to Montreal: a distance of 3787.2km 2353 miles.
https://www.google.com/url?sa=t&rct...es-oil&usg=AFQjCNHZoV822DG5HFvdeuR5SvsNS0-8tg

Ukifananisha na hii:
http://www.ippmedia.com/sw/habari/urefu-bomba-mafuta-tanzania-uganda-haijatokea-duniani

Tujiulize MWANANCHI WA KAWAIDA ALIYEKO HUKO MATOMBO AU TANDAHIMBA ATAELEWA NINI?

Kufanya mambo kwa weledi kutatusaidia zaidi kufahamu kuliko kutafuta sifa.
 
hili nalo linahusiana na bomba la mafuta au?
Tunaposhindwa kujua mijadala hii midogo ya makinikia tutaiweza kweli?
 
ours is the word's longest heated crude oil pipeline for your information

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hili bomba vipi ujenzi wake? Au mabeberu wameshafanya yao?

Museveni ni tapeli kama matapeli wengine, wakati ule alimkuta jiwe ana mihemko ya madaraka akamuingiza mjini. Huyo Museveni kuna wakati aliomba apewe sehemu ya bandari ya Tanga aikarabati ili achukulie mizigo ya Uganda, kweli akapewa lakini mpaka leo hajatekeleza. Hili bomba la mafuta alisema atapitishia Kenya mara akabadilisha.
 
Utata upo kati ya uganda na muwekezaji katika swala la kusafirisha. Uganda wanataka wanataka kusafirsha refined na investor anataka crude. Ila yanakaribia kuisha. Tupo pazuri
Ni kweli, lakini wakati hilo bomba linazinduliwa leo hii lilipaswa liwe limevuka nusu ya miradi, sasa kama bado kuna negotiations huoni kuna utata hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…