Delaying ni kitu cha kawaida kwenye project yoyote. Mara ngapi JK alikuwa anazindua projects na ku delay mda ulipangwa? Hebu usiwe mbishi kiasi hicho hivyo ni vitu vya kawaida. Ungesema project imekufa ningekuelewa ila sio issue ya kudelay
Baada ya Final Investment Decision FID kufanyika. Hiyo itakuwa mwezi wa 9. Na construction ikataka kuanza lazima mu7 na JPM waifungue piaDuuu mkuu unamtaja JK Kama sehemu ya utetezi wako kuhusu ujenzi wa miradi!? Hapo nimechoka kabisa. Kwa hiyo ni lini huo miradi unaanza?
Bavicha hawapendi kitu kinachosimamiwa na Jiwe kifanikiwe! Ndio sababu unakuta wanachezesha masaburi kwa ubishi wa kijinga kabisa
Baada ya Final Investment Decision FID kufanyika. Hiyo itakuwa mwezi wa 9. Na construction ikataka kuanza lazima mu7 na JPM waifungue pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe jamaaa bwana una uelewa mdogo kweli, yaani kwakuwa humpendi jiwe basi unashupaza shingo iendelee kuamini unacho waza wewe.
Mkuu uko informed!Issue sio museveni mkuu. Kiukweli kabisa mu7 alitaka kudeal na kenya. Walikuwa washasign mpaka MOU na kenyatta. Wenye project ambao ni TOTAL walikataa kupeleka bomba kenya sababa halitakuwa salama kwenye mikono ya alshababi, pia TOTAL hawakuwa tayari kununua ardhi ya kupitisha bomba kenya. TZ ardhi ni ya serikali kwa hiyo wasingepata shida. Mu7 hakutaka bomba kuja TZ kama hujui mi nakwambia
Mkuu uko informed!
Kwa sababu ni zero bomba s halijaanza kujengwa tayari typo kwenye arbitrationBavicha hawapendi kitu kinachosimamiwa na Jiwe kifanikiwe! Ndio sababu unakuta wanachezesha masaburi kwa ubishi wa kijinga kabisa
Tik tok tik tok...Toli toli
Ova
Pumba kabisa. Total ni ya ufaransaTotal hawawezi kamwe kuendelea na hiyo project maana Tanzania imekataa kuongeza mkataba wa makubaliano ya kibiashara na uholanzi serikali Yao
hahahahahahaWakuu bomba la mafuta limefikia wapi? Nasikia linakaribia Korogwe. Je ni kweli?
mabeberu mnaowasema waliona jiwe atakujagoma kutoka madarakani once akianza ingiza pesa ya bure ya mafuta so lazima wamemchinjia baharini kwakua hawapendi wanaojimwambafy angekuja sumbua dunia kama akina sadam hussein walivykua viburihahahahahaha
Na wew uliamini linakuja ilikuwa ni kuuza sura na matangazo tbcWakuu bomba la mafuta limefikia wapi? Nasikia linakaribia Korogwe. Je ni kweli?
Aisee. Sasa zile mbwe zote zilikuwa za nini kama bomba lenyewe lilikuwa bomba hewa? Hii nchi wanasiasa wanatuchezea sana.Na wew uliamini linakuja ilikuwa ni kuuza sura na matangazo tbc