Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Kuwa mkuu wa nchi kunahitaji busara, hekima, weledi, staha, uvumilivu, ungwana, ustaraabu, heshima, utu na werevu.
Angalau Kiongozi apate nusu tu ya sifa hizo maana si malaika.
Kukosa zote hizo ni disaster!
 
Na huyo Sizonje hata moja ya hizo hana.

Sent from my Kimulimuli
 
Mmebakia mipasho tu...nchi yenu elimu duni, uchumi duni, akili duni, afya duni, hamna muelekeo mna kazi ya kuongozwa na matamko tu...
Wadanganye wasio pajua Kenya huko.
Wananchi wako hoi wengi sana.
Elimu yenu INA ubora UPI wizi tu umewajaa na ujanja ujanja na ujuaji.
 
Miaka 20 ijayo ikitokea rais wa Uganda wa wakati huo akatamka kwamba walikosea mahesabu ya kiuchumi kulipitidhia hbomba hili huko Tanzania, basi mtakaokuwepo wakati huo msilalamike maana ukweli unabaki kuwa ukweli hata kama kuna haupendwi na kikundi kilichoko Ufipa, Lumumba, Butiama, Chato, Bagamoyo.

Economy ya inrfastructure inaangalia distance. Zambia walijifanya wakati fulani kututumia baadaye mizigo yao kutokea badanri yetu D'Salaam, taratibu wakaachana na siasa zilizopelekea hivyo wakatumia bandari ya Beira na sasa wanatumia hata bandari za South Africa.

Tena kuna wakati hata Samora Machel alitaka kutumia baadhi ya mambo na makaburu akabembelezwa sana na na akina JN na Kaunda.

Siasa na uchumi haviendani hata siku moja kwani siku moja ni majuto. Subirini mtakaokuwepo miaka iyajo. Huwezi kusifia akili ya kupitisha bomba kwenye nchi linakotumia urefu wa 1445km ukaacha kupitisha kwenye linakotumia urefu wa 900km tu!
 
Nimemskia akiwaambia waliokosa fursa ya bomba kupita kwao wamenuna na watanuna sana mane ambayo ni kama kuwanga waliokosa nimejiuliza kwa kiongozi wa nchi nisahihi kutoa lugha hiyo kwa afya ya ujirani mwema?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimefuatilia kila kitu mwanzo mwisho na sijasikia wala kuona popote pale Rais Dkt. Magufuli ameinanga / ameisema nchi ya Kenya. Msitake kuchochea chuki baina ya Kenya na Tanzania na labda nikuhakikishie tu na kwa faida ya Wapuuzi wenzako wengine wote kuwa Urafiki wetu na Wakenya ambao uliasisiwa vizuri sana na Wazee Wetu Wapendwa akina Kenyatta na Mwalimu Nyerere hata siku moja hautaweza kuharibiwa na Wanafiki wachache kama Wewe. Lakini hata hivyo siku ikitokea tu hawa Wakenya labda kupitia huyu Rais wao Uhuru wakataka kuzichapa / kupigana / kupambana na Tanzaia ( Sleeping Giant ) nadhani siku hiyo ndiyo watajua kuwa Tanzania haibipiwi na ukiibipu inakupigia mara moja.

Mwisho nikuambie tu kwamba Kijiografia hakuna nchi ambayo imekaa vizuri kuipiga hasa kwa kutokea Tanzania kama ya Kenya hivyo kitendo cha wao kulianzisha tu asubuhi ya Saa 12 Rais Uhuru atakuta Majeshi ya Tanzania yanamkaribisha kunywa nae Chai huku Askari wengine wa Tanzania wakiwa wameshakamata miji / mikoa yote ya Kenya. Fanya pia utafiti wako utajua kwamba Kenya ukiondoa tu Kikosi kidogo na Maalum cha Askari cha GSU ndiyo nchi yenye Askari / Wanajeshi goi goi Afrika ya Mashariki nzima.

Nasikia kuna Mpuuzi mmoja ameenda kumuunga mkono Uhuru Kenyatta ili kama akipita basi aanze kuichokonoa Tanzania huku akimtengenezea mazingira huyo Mpuuzi ya kuja kutimiza Ndoto yake ya alinacha ya kuja kuwa Rais wetu hivyo kupitia tu Wewe Mnafiki mwenzao nenda kamwambie kuwa tunamjua tokea anazaliwa, tuko Kenya siku nyingi, ramani yote maeneo yao Nyeti tunayo na tunajua wapi kwa kuanzia na kumalizia ambapo tutaanza na Yeye kisha tutakuja kumalizana na huyu Mpuuzi wetu ambaye tunammudu vilivyo.

Kazi Kwako na Kila la kheri.
 
Kila mtu kuwa mwizi siyo ufahari wala haihalalishi wizi kwamba ni jambo jema. Za mwizi 40!
Nimekupata. . na kama kweli wako serious na majizi ,,,,, wengi wangetiwa korokoroni,,,,,ila kwa huyu , kama vile kuna jambo silielewi......the is something behind the curtain....... Iam telling u,,,,,,,hakuna jizi kama CHENGE lakini liko mtaani linapeta.
 
Nimemskia akiwaambia waliokosa fursa ya bomba kupita kwao wamenuna na watanuna sana mane ambayo ni kama kuwanga waliokosa nimejiuliza kwa kiongozi wa nchi nisahihi kutoa lugha hiyo kwa afya ya ujirani mwema?

Sent using Jamii Forums mobile app

KMS wewe kwa wakenya wanakuona kama choo, we baki na chuki zako kwa magu
 
Miaka 20 ijayo ikitokea rais wa Uganda wa wakati huo akatamka kwamba walikosea mahesabu ya kiuchumi kulipitidhia hbomba hili huko Tanzania, basi mtakaokuwepo wakati huo msilalamike maana ukweli unabaki kuwa ukweli hata kama kuna haupendwi na kikundi kilichoko Ufipa, Lumumba, Butiama, Chato, Bagamoyo.

Economy ya inrfastructure inaangalia distance. Zambia walijifanya wakati fulani kututumia baadaye mizigo yao kutokea badanri yetu D'Salaam, taratibu wakaachana na siasa zilizopelekea hivyo wakatumia bandari ya Beira na sasa wanatumia hata bandari za South Africa.

Tena kuna wakati hata Samora Machel alitaka kutumia baadhi ya mambo na makaburu akabembelezwa sana na na akina JN na Kaunda.

Siasa na uchumi haviendani hata siku moja kwani siku moja ni majuto. Subirini mtakaokuwepo miaka iyajo. Huwezi kusifia akili ya kupitisha bomba kwenye nchi linakotumia urefu wa 1445km ukaacha kupitisha kwenye linakotumia urefu wa 900km tu!
Kwani Tanzania ndiyo inayojenga hilo bomba?

Sawa nabii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio alivyo mkulu haoni tabu kutoa ujumbe kwa kejeli.
 
Kwani Tanzania ndiyo inayojenga hilo bomba?

Sent from my Kimulimuli

Soma kama vile huna makengeza ya kutengenezwa kutokea Ufipa, Lumumba, Butiama, Chato, Bagamoyo.

Hakuna niliposema Tanzania, nimeweka sawa historia ili tusionekane wote kizazi chetu wote tulikuwa wajinga kushangilia maamuzi ya kisiasa kwa mambo ya kiuchumi.

Waganda wanaweza kujuta baadaye kama walivyojuta kumshangilia Idi Amini wakati anaingia madarakani.

Miaka 20 ijayo ikitokea rais wa Uganda wa wakati huo akatamka kwamba walikosea mahesabu ya kiuchumi kulipitidhia hbomba hili huko Tanzania, basi mtakaokuwepo wakati huo msilalamike maana ukweli unabaki kuwa ukweli hata kama kuna haupendwi na kikundi kilichoko Ufipa, Lumumba, Butiama, Chato, Bagamoyo.

Economy ya inrfastructure inaangalia distance. Zambia walijifanya wakati fulani kututumia baadaye mizigo yao kutokea badanri yetu D'Salaam, taratibu wakaachana na siasa zilizopelekea hivyo wakatumia bandari ya Beira na sasa wanatumia hata bandari za South Africa.

Tena kuna wakati hata Samora Machel alitaka kutumia baadhi ya mambo na makaburu akabembelezwa sana na na akina JN na Kaunda.

Siasa na uchumi haviendani hata siku moja kwani siku moja ni majuto. Subirini mtakaokuwepo miaka iyajo. Huwezi kusifia akili ya kupitisha bomba kwenye nchi linakotumia urefu wa 1445km ukaacha kupitisha kwenye linakotumia urefu wa 900km tu!
 
Mitandao ya Kenya iliyosema Mseven haji hiyo ni sahihi, ila magufuli kusema wanune tu ni kosa, kwani nyie mnafikiri Kenya ni nani hapa duniani? USA or china or EU ambao hawasemwi, hamuwezi kuwa na ujirani mwema wa pande moja tu kusema pande nyingine, nasupport kauli ya Rais 100%. Huu sio muda wa kubembelezana, Tanzania tumetoka katika dhama hizo tumewaachia wao.
Ila Na Yeye Akubali Kusemwa.
 
Malcom umenena vizuri sna. Tatzo la Watanzania wengi ni wenda wazimu. Kenya wanatutukana sana tena vibaya. Fuatilia kampeni za Kenyatta haya yote utayabain. Hivi mnadhan Magufuli hana nyongo. Wapuuzi nyie mnao shadadia ushenzi wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa wasikilize, kamwe usiwaamini. Unajua aliefanikisha bomba la mafuta toka Uganda kupitia Tanzania ni El-shababu? Pole sana.
 
Back
Top Bottom