chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma.
Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji.
Asikae ofisini tu, chama kinahitaji succession plan.
Akae, awe msikilizaji, ajue vijana wanakielewaje chama ....falsafa yake, muundo, na uwezo wa kumudu Siasa za jukwaa.
Na baadae mafunzo maalum ya muda mfupi na mrefu yatolewe, wawezeshwe kujua muundo na ufanyaji kazi wa serikali. Siasa za ushindani na jinsi ya kuendnda nazo bila inyonge ila kwa nguvu ya hoja.
Mafunzo ya ujenzi wa hoja, katika vyombo vya habari, jukwaani, jinsi ya kumudu jukwaa na mambo yanayohusiana.
Tunawahitaji akina kinana wengi, akina Makamba wengi, akina Moses Nauye wengi. Watu wanaojua mambo.
Haya mambo ya chawa hayakwepeki, lakini chawa lazima awe na mwili wa kunyonyea damu, na mwili huo ni chama imara