benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameuonya Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) dhidi ya kukubali kuwa sehemu ya kubeba maslahi binafsi ya wat wachache.
Chongolo alitoa onyo hilo lipohutubia wajumbe wa Baraza KUu la umoja huo, akisema CCM inategemea vijana hao kutumia nafasi zao kubeba agenda za chama zenye maslahi kwa taifa na watanzania. Aliwataka wasikubali kuwa sehemu ya kubeba maslahi binafsi ya wat wachache wenye ndoto zinazokinzana na misingi ya chama.
"Chama chetu kinawategemea Sana Jumuiya nil kukilinda na kukisemea na kufanya mambo yakayokifanya kiendelee kuwa chama tawala nchini na si vinginevyo, tusiache wajibu huo, tusiache kulinda viongozi wetu, tusibebe jukumu la kuwa viongozi wa watu, alionya.
Aliongeza hasara ya kuwa kiongozi wa mtu ni hasara unayojitengenezea kuwa daraja la kukuharibia kesho yako. Ukiwa kiongozi unayesimama na kuuitegemea, utaishi miaka yote ukiwa Unaendelea kufaidi fursa ya vongozi uliojitengenezea mwenyewe.
"Lakini Ukiamua kuwa kiongozi mfuasi wa mtu, yule mtu akiondo-ka, na wewe unakwenda na majl. Na mara nyingi watu tunao wafuasi ni ambao watu wenye ndoto. Kuna watu maisha yao ni ndoto na ni ndoto kwelikweli. Acheni na achaneni na ndoto za watu. Ishi na ndoto za Uhakika, ndoto za taasisi... ndoto za CCM. Simameni na viongozi halali na sahihi wa taasisi na sio viongozi wanaojiandaa kuwa viongozi bila kuandaliwa na taasisi. Viongozi wengi wanaojiandaa na kuwa na tamaa ya nafasi, kwenye chama hiki huwa hawapati nafasi.
"Niwaombeni sana mkasimamie vikao hivyo, viendelee na vifanyike. Kwa sababu kwenye vikao ndipo tunapotoka na maazimio yote ya pamoja, kauli ya pamoja na uelewa wa pamoja.
"Lakini sambamba na hilo, niwekee mkazo katika suala zima la ziara. Niwapongeze baadhi ya maeneo, nimekuwa nikiwafuatilieni kwa karibu. Mmekuwa mkifanya ziara katika maeneo yenu. Niwaombe Kwa wale bado. Ziara hizo zikaanze au zikaendelee. Na ziara hizo zikianza ama zikiendelea, basi zisiwe ziara za kupiga picha, ball ziwe ziara za kuleta tija katika chama chetu na kwa Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi," alisema.