Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

Mbona maana ya ujumbe huo (kama ni wa kweli) upo wazi kabisa.

hao waliotumiwa ujumbe siyo kwamba wanapewa shukrani, bali hiyo ni njia ya kuwashinikiza wakubali hilo jambo hata kama hawakubaliani nalo.

Hii ndiyo njia inayotumika ndani ya chama na hata Bungeni kuwalainisha wasiokubaliana na msimamo.

Huku ni kutishwa wazi wazi wasiwe kinyume na matakwa ya viongozi wao.

Tena msisitizo ni kuwataja majina kabisa, watambue kwamba wao ndio walengwa wa shinikizo hilo.
 
Na hili linatia shaka hasa juu ya uhalali wa hili swala zima.

Kwanini iwe ni lazima kwa kila mtu kusifia?
 
Hili sakata la bandari litatufikisha pabaya! Haijawahi tokea ajenda ikanasa kwa public mda mrefu hivi.
Kilichotokea na matarajio yao ni vitu 2 tofauti.

Walitarajia lingeongeleka siku 2 halafu watu wasahau. Lakini imekuwa kinyume na hilo.
 
Huu ni upuuzi,wanavyofanya hivi ndio kabisaa wanazidi kufanya hata wasio na interest na mambo hayo kuanza ku draw attention kwamba kulikoni.

Poor strategy,hii hii ya kufanya mikutano ilikuwa ni njia nzuri unajibu hoja za Wapinzani Sasa meseji tena? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Good observation
 
Chongolo amejuaje kama hao waliotumiwa wamekubali swala la bandari? Walituma majibu kwao ndiyo wakawatumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…