Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

sasa wana la kujibu mpaka waitishe hiyo mikutano?
 
Kwa sababu tulishavuta kishika uchumba. Hakuna namna hawa madubwana lazima waje. Kama hamtaki waje hamieni Burundi
bora umekiri ukweli kuwa kuna mlichovuta kuliko kina Msukuma wanaobisha.
 
Hii sasa ni kulazimisha kitu kilichokataliwa. Mbona hakutuma wakati wanaenda kwa waarabu?
 
Hii sasa ni kulazimisha kitu kilichokataliwa. Mbona hakutuma wakati wanaenda kwa waarabu?
walijua ingekuwa siri yao tu. Alievuja mkataba ndio kaharibu mambo.
 
Kesi ya kupinga makubaliano aka mkataba wa bandari kama haitaingiliwa,itawafungua macho watanzania bila kujali itikadi au dini kwa sababu wapotoshaji wangefunguliwa mashitaka kwa upotoshaji badala yake wasio wapotoshaji ndiyo wamepelekwa mahakamani
 
Mi kitoto changu kikiniletea maji nikanywa,ukashukuru na kukapongeza.Huu ndiyo utamaduni wa mtanzania.
 
Safi sana. Tunaunga mkono kwa nguvu zote. Bandarini lazima DP WORLD waje upesi iboreshwe. Hakuna namna yaani.
 
Hizo pesa na muda wangetumia kusimamia wawekezaji waliokuwepo Bandarini na kuzuia wezi wala tusingehitaji muwekezaji mwingine sababu huyu ange-perform accordingly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…