Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

Ni wapiga deal wakubwa na wataumbuka tuu...
Risiti feki, leseni feki, Mama chukua hatua...
 
Mwizi wa kura anapotaka kumdhibiti mpigaji wa fedha za uma
 
Walijinasibu kumaliza upinzani, sasa wanachapana wenyewe kwa wenyewe! Na bado......
 
Kama ni mama Liani wapigaji wa mlungula kknondoni wana Kazi. Wamuulize alikopita kote ni ngangali. Bahi mbunge alikamatishwa rushwa na yeye . Huyo mama hatishiki. Ni mmoja wa wachagga waadilifu
Huyo mama siyo mchaga wewe.
 
Kama ni mama Liani wapigaji wa mlungula kknondoni wana Kazi. Wamuulize alikopita kote ni ngangali. Bahi mbunge alikamatishwa rushwa na yeye . Huyo mama hatishiki. Ni mmoja wa wachagga waadilifu
Huyu Mama Zipora Liana hats Jiwe alikuwa anamkubali sana NASA kwa misimamo take ya kutetea wanyonge na kupinga rushwa. Nahisi sasa hivi 'hatakiwi'!
 
Mkuu kuna mengi hujui.
Umdhaniye ndiye utashangaa.
Skadali zake toka Ilala zinajulikana.
 
SIPORA ANA MIEZI MIWILI TU KINONDONI, SONGORO MNYONGE NI MWIZI ALIEKUBUHU AMEKUWA DIWANI TANGU ENZI WA KINA LONDA SI CHINI YA MIAKA 20 +

Sent from my HRY-LX1T using JamiiForums mobile app
 
Kama ni mama Liani wapigaji wa mlungula kknondoni wana Kazi. Wamuulize alikopita kote ni ngangali. Bahi mbunge alikamatishwa rushwa na yeye . Huyo mama hatishiki. Ni mmoja wa wachagga waadilifu

Lowassa mwenyewe alit MBUKWA kuwa mama Liana!! Aliweza ARACHUGA itakuwa Hawa wanaume wa Dar wanaokimbia panda!!
 
Mkuu kuna mengi hujui.
Umdhaniye ndiye utashangaa.
Skadali zake toka Ilala zinajulikana.

Ziweke wazi hizo skandali tuzijue!! Inaweza kuwa ni majungu tu ya waswahili waliozibiwa ulaji!! Madiwani wetu tunawajua wapo hapo kufanya ufisadi wa viwanja na miradi ya Ujenzi!!
 
SIPORA ANA MIEZI MIWILI TU KINONDONI, SONGORO MNYONGE NI MWIZI ALIEKUBUHU AMEKUWA DIWANI TANGU ENZI WA KINA LONDA SI CHINI YA MIAKA 20 +

Sent from my HRY-LX1T using JamiiForums mobile app

Na hao wote wanajulikana kwa kuhusika na rushwa na kufanya biashara za madawa ya kulevya!!! Songolo sasa hivi ataumbuka kwani asifikiri vyombo vya dola havijui nyendo zake!!!
 
Songoro aliiupata umeya kwa rushwa ya million 1 kwa kila mjumbe anapambana kurejesha gharama zake.

Sent from my HRY-LX1T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…