B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 May 21, 2021 #61 Mingoi said: Songoro aliiupata umeya kwa rushwa ya million 1 kwa kila mjumbe anapambana kurejesha gharama zake. Sent from my HRY-LX1T using JamiiForums mobile app Click to expand... Huyo Meya amekalia kuti kavu kwani mambo yake yanajulikana na ndio maana hata ccm wamempa kalipio kali mbele ya hadhara!!!!
Mingoi said: Songoro aliiupata umeya kwa rushwa ya million 1 kwa kila mjumbe anapambana kurejesha gharama zake. Sent from my HRY-LX1T using JamiiForums mobile app Click to expand... Huyo Meya amekalia kuti kavu kwani mambo yake yanajulikana na ndio maana hata ccm wamempa kalipio kali mbele ya hadhara!!!!