Chongolo: Wakati wa waliopewa dhamana ya kutatua changamoto za watu kulalamika imekwisha

Chongolo: Wakati wa waliopewa dhamana ya kutatua changamoto za watu kulalamika imekwisha

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Mambo yameanza kunoga.

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo ametoa onto Kwa viongozi wote Waliopewa Dhamana za Kutatu
a Changamoto za Watu kuacha kulalamika Bali wachukue hatua.

Bila shaka tuendako kutanoga zaidi.👇

========
"Hatupo kwenye wakati wa kusubiri malalamiko ya watu waliopewa dhamana, Tupo kwenye wakati wa kutenda." Daniel Chongolo, Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi Taifa.

 
Back
Top Bottom