Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

Huko ni kujitesa sasa nafuu ninye vichakani au kwenye magofu mabovu ..nyumba za watu ambazo hazijakamilika kuliko kunya nimejipinda pinda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka uone kero ya vyoo hivi tembelea Kenya au Zambia , ndo utachoka!
Hakuna maji ya uhakika, yet wamevifanya ndo standard kwenye public toilets, yaan ukiingia hata hamu yenyewe inakata

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu.niliwai panga nyumba INA choo cha hivyo kenya.wajaluo washakinyea mpaka basi kimejaa mpaka juu.yani nilikaa mwezi mmoja tu.asubui na mchana nashusha mzigo vyoo vya chuoni usiku nikiwa geto divi likinibana nilikua naviringisha ka mfuko naachia mzigo naurusha dirishani.hivyo vyoo Hamna labda kiwe chako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio Yale maji yanavyotoka kwenye kale kabomba umesema yanakutekenyaga eti??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Solution ya maji kuruka niku weka tissue kwa wingi ndani ya choo ku cover yale maji kabla huja anza zoezi. tissue ita act kama kipa, inadaka gogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya system ya maji ikisumbua utafurahia
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Hhahahah ila tuwe makin mkuu, sink ikipasuka ukiwa pale juu ni balaa... inakata paja au msamba kama chainsaw. Mwenyewe ndo style yangu hyo
 
Tatizo ni moja' mzigo unaoshushwa kutokana na kula vitu vizito na kutokunywa maji huwa hauendi, unaishia juu pale kwenye mduara. Choo hakina shida yoyote kama watu ni wasafi, Ila public hakifai.
 
Wewe uko chooni peke yako kinachokufanya usivue nguo zote ni nini mkuu!hivi vitu ili viende vizuri inahitaji kujinafasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsia yako tafafhali
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Kuna mtu milimvunjikia kwa kupanda na kuchuchumaa, nyama yote ya kwenye paja ilichimbwa na kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kwa asili yangu siwezi kunya nimekaa kama mgonjwa wa siku nyingi!
Mie huwa nikikuta choo cha hivyo napandaga juu nachuchumaa nakunya kwa raha!
Kwanza nilishawahi kuchambia shuka la lodge kwa sababu hakukuwa na toilet papers nikasema ngoja tuone nani mjanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
We jamaa una akili kama zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda kutekenywa?![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hatari..! Yaani unakunya kwenye mfuko unatupa dirishani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…