Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

Usichutame juu ya sink ni too risk.
Mwaga maji kabla hujatumia
Weka tissue nyingi ndani na pembeni ya sink sehemu utakayokaa.
All in all havifai kwa matumizi ya public na kiufupi havina raha kabisa na huwezi kumaliza mzigo wote compared na mtu atakae tumia choo cha kuchutama make muscles zinakuwa tight na hivyo inakupa urahisi wa kujikinya.
 
kweli umenena
 
Vyoo vya kipuuzi snaa mimi juzi tu nimepanda juu ya sinki baada ya kushindwa kunawa vizuri ..
Ile natoka kaingia mzee na kitambi balaaa na chini viatu vyangu nilikua nimekanyaga matakataka ya jalalani
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Mkuu ukiachia mzigo na wewe ruka kando kabla mzigo haujatua na kurusha maji
 
Mpaka hospitals tena za rufaa nimeona wanaweka hivi vyoo kwenye majengo yao mapya.

Yaani mkusanyiko wa wagonjwa halafu wanalazimisha contact ya ngozi za matako chooni.

Halafu mtu mnene sijui kimba linapenyaje akiwa amekaa ni sawa na kunya ukiwa umesimama wima.
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Mkuu nimeona nichangie kidogo kwenye comment yako ili kutoa faida kwa watumiaji wengine. Hoja yako kuhisi kuambukizana magonjwa ni hoja sahihi kabisaa! Lkn nilivyosoma michango mingi ya wachangiaji nadhani wengi kutokana mazoea tunaamini hayo ndo matumizi sahihi ya hivyo vyoo.

Mkuu zile toilet paper zinazowekwa chooni,huwa ni maalum kwa ajili ya kuweka hapo juu ili ukae kuepuka kuchangia makalio na wengine. Zile siyo za kuchambia km watumiaji wengine wanavyodhani.

Kumbuka vyoo vya aina hiyo vinahitaji maji ya kutosha kwa ajili ya watumiaji na kufanyia usafi. Na ndo maana maji ya kusafishia baada ya kujisaidia yamewekewa pressure kali sana ili kuondoa uchafu.

Kuhusu Yale maji yaliyoko pale kwenye shimo la sink,yale ndo yanakata harufu ya choo,hivyo lazima yawepo na hayaepukiki kwa choo cha aina hiyo. Lkn km ulivyosema hayo maji kweli ni machafu,na ukijisaidia kwa kulenga shimo automatically yatakurukia.

Kukaa na kulenga shimo ni kutokujua matumizi ya choo,kile choo kimewekwa slop unatakiwa kujisaidia huku juu kwenye mlima wa sink ile utakapo-flash maji yatazoa kile kinyesi kutoka huko mlimani kuteremsha chini kwenye shimo.

Unajua kwa nn mzungu aliamua kuweka ujisaidie huku juu,hii inasaidia kukiona kinyesi chako umejisaidia cha aina gani,pengine kimechanganyika na damu au rangi isiyo ya kawaida. Hii inakusaidia kuonana na madaktari kujua shida ni nini na ndo maana sink la choo linawekwa rangi nyeupe ili kurahisha kuona. Matumizi ya choo cha shimo huwezi kuona kinyesi chako km kinashida au la!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu/jamii/nchi safi...vinatumika public na kila ukienda unakuta ni visafi....

Nakubali sio vizuri kuweka kalio alipoweka mtu mwingine kuna magonjwa.
Jaribuni kutembea kidogo nje ya nchi. Huwezi kukuta choo cha kuchuchumaa ukienda USA, EUROPR, Australia. Utafanyaje?? Kinachohitajika hapa ni USAFIIII. Tujitahidi kumuweka mtu wa usafi saa zote pale chooni.
Wapo watu wanasema ati panda juu ukanyage ule mviringo. Kwa weye kijana sawa, Je mzee si atateleza na mguu ukiingia kule ndani hapo si anatolewa ameshapata kilema kabisa?? Hay, nawaza tu, ukute ulishachujua nguo yako na ulikuwa unajiandaa kuushusha mzigo, mara paap umetelezea humo humo ndani.
Kilio kinamleta mhudumu, huku umefunga mlango. Utailaani siku ulizaliwa. Usipande juu bali kalia tu. Kunya haraka ukachambie kwenyu
 
Acha tu.niliwai panga nyumba INA choo cha hivyo kenya.wajaluo washakinyea mpaka basi kimejaa mpaka juu.yani nilikaa mwezi mmoja tu.asubui na mchana nashusha mzigo vyoo vya chuoni usiku nikiwa geto divi likinibana nilikua naviringisha ka mfuko naachia mzigo naurusha dirishani.hivyo vyoo Hamna labda kiwe chako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahah!!!
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Hiii style mkuu niliitumia sana nikiwa pale naishi pale ma hall ya udsm. Smt inabidi ushuke huku CoET ndo kuna vya kuchuchumaa.

Nikiwa sehemu ambayo naviona ni safi naweza tishu kuzunguka sehemu ya kukaa na Yale maji kwenye tobo nayaziba na tishu so ukipiga mzigo haugusi ama kurusha maji mana yanagota juu ya tishu
 
Mkuu nimeona nichangie kidogo kwenye comment yako ili kutoa faida kwa watumiaji wengine. Hoja yako kuhisi kuambukizana magonjwa ni hoja sahihi kabisaa! Lkn nilivyosoma michango mingi ya wachangiaji nadhani wengi kutokana mazoea tunaamini hayo ndo matumizi sahihi ya hivyo vyoo.

Mkuu zile toilet paper zinazowekwa chooni,huwa ni maalum kwa ajili ya kuweka hapo juu ili ukae kuepuka kuchangia makalio na wengine. Zile siyo za kuchambia km watumiaji wengine wanavyodhani.

Kumbuka vyoo vya aina hiyo vinahitaji maji ya kutosha kwa ajili ya watumiaji na kufanyia usafi. Na ndo maana maji ya kusafishia baada ya kujisaidia yamewekewa pressure kali sana ili kuondoa uchafu.

Kuhusu Yale maji yaliyoko pale kwenye shimo la sink,yale ndo yanakata harufu ya choo,hivyo lazima yawepo na hayaepukiki kwa choo cha aina hiyo. Lkn km ulivyosema hayo maji kweli ni machafu,na ukijisaidia kwa kulenga shimo automatically yatakurukia.

Kukaa na kulenga shimo ni kutokujua matumizi ya choo,kile choo kimewekwa slop unatakiwa kujisaidia huku juu kwenye mlima wa sink ile utakapo-flash maji yatazoa kile kinyesi kutoka huko mlimani kuteremsha chini kwenye shimo.

Unajua kwa nn mzungu aliamua kuweka ujisaidie huku juu,hii inasaidia kukiona kinyesi chako umejisaidia cha aina gani,pengine kimechanganyika na damu au rangi isiyo ya kawaida. Hii inakusaidia kuonana na madaktari kujua shida ni nini na ndo maana sink la choo linawekwa rangi nyeupe ili kurahisha kuona. Matumizi ya choo cha shimo huwezi kuona kinyesi chako km kinashida au la!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wamechangia na nimepitia comments Kama zote ila hii nadhani ndio jibu tosha.@Magode thanks nimekuelewa kwa kiasi kikubwa.

Ila bado naushamba wa jinsi gani ya kujisafisha kwa mkono. Yaani mkono wote hulowana kiganja kizima na hubakia na harufu ya pili tofauti na kuchuchumaa ambapo kujisafisha hutumia incha za vidole!

Halafu naona kwa watu wafupi kwao ni shida sana kupenyeza mkono na kujisafisha huku amekaa!! Hahaha hahaha hahahah!!
 
Hivi vyoo bana ni shida, huwa Nawaza ndyo nakaa sehemu aliyokaa mwingine aliyetoka Khaa na sometimes Mimaji inaruka kutoka ndani, ni rahisi kupata magonjwa, lkn pia gogo halisukumiki vizuri tofauti na vyoo vya kuchuchumaa. Na tunaona ndyo vyoo vya kisasa zaidi[emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom