MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
We mlevi wewe, unamaanisha sisi wa Bush matimba yetu ni ya green sababu vegetables Kibao ama?[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatanguliza tissue kama hivyo tissue zingine unatupia pale kwenye maji ,unaweka mambo yako juu ya tissue unaflsh mchezo umeisha ,japo si vizuri sana hivi vyooHii mada imenichekesha sana ila kiukweli hivi vyoo vya kukaa vinaboa sana tu,
Mm huwaga naweka tissues ndo nikae tena kukaa yenyewe ndo ile style ya kucheza rede upande upande, ukiachia unaruka usipokua na machejo maji yanakurukia hatar
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaaasaaaasssss nimecheka hoiMi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
kama mimi😀😀😀 nimeshaweka rohoni kutovikubali mileleShikamoo choo cha kukaaa.....nitakutumia pale ambapo sina options kabsa.....!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka Makalio yawe smooth kwa faida ya Nani? Au tuseme unamtunzia Nani hayo Makalio?[emoji849][emoji849][emoji849] Kwa ujumla vyoo hivi havifai kwa public, ni chanzo cha maradhi ya ngozi makalioni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za msimu wa siku kuu.
Choo cha kisasa cha kukalia ni dizaini ya choo chenye sink ya kukalia na kwa asilimia kubwa kilichotengenezwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu au wenye matatizo ya miguu na kiafya kwa ujumla ikiwemo na wazee tofauti na kile cha kawaida cha kuchuchumaa.
Kwa hali isiyo ya kawaida,choo hiki kimekuwa kimekiwa kikipendelewa sana kuwekwa majumbani tena majumba ya kifahari, na nyumba za kawaida, kwenye mahoteli, na sehemu nyingi za public na private nyeti kwa matumizi ya wote.
Sehemu nyingine huwa kunakuwa na vyoo viwili yaani milango miwili ya choo. Kimoja cha kuchuchumaa kwa maana kwa watu wasio na ulemavu , wazee, ama wenye matatizo ya kiafya na chumba kingine cha choo chenye hiyo choo/sink ya kukalia kwa ajili ya watu wa category tajwa hapo mwanzo.
Kwa hali isiyo ya kawaida, kumekuwa na wimbi kubwa la watu kupendelea kutengeneza choo cha kulalia kuliko kile cha kuchuchumaa.
Hapa chini nimekuwekea Karaha zake kwa indinkibwa la watu hasa watanzania. Na kuichukulia kuwa si mazoea yetu na hatujazoea kujisaidia tukiwa tumekaa!
Kiukweli kuna taabu tena taabu sana kutumia choo cha dizaini hii. Yaani muundo huu wa Choo unatushinda wstu tulio wengi tena sana kutumia. Mara uingiapo chooni na kukuta huu muundo wa choo amani hukosekana.
Ni kweli kuna raha au starehe yake wakati wa kupush gogo kwa maana ya mkao mzuri wa starehe, ila taabu na Karaha huja wakati wa Kujichamba aka kujitawaza, Aiseee!! Nishidaaaa!!
Japo kuwa kuna huo mpira wa kujisafishia, watu hatujaweza kuutumia maana huishia kujilowanisha nguo hasa suruali au skirt kwa upande wa makalioni na mbele kwa mapaja.
Yaani ukijaribu Kujichamba kwa kuupitisha kwa nyuma au mbele taabu tubu. Lazima ujilowanishe nguo hata kama suruali ama nguo umeishusha na kupunguza presha ya maji ya mpira kadri niwezavyo.
Mara nyingi watu huepuka aibu ya mlowano wa nguo kwa kupendelea kutumia TISHU ambazo huwa pale , ILA SASA SI VYOO VYOTE UTAINGIA NA KUKUTA KUNA TISHU! Utakuta zimeisha au hakuna kabisa na mtu umebanwa!
Wadau, Mwenye utaalamu wa matumizi ya hii sampuli ya choo bila Karaha hizo tajwa hapo juu atujuze.
Merry Xmas and Happy New Year 2020
Ndio maana kuna muda unakuta ulimwengu unanuka mavi,mnatumiaje tishu pekee bila maji baada ya kunya? JitathiminiHabari za msimu wa siku kuu.