Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

Na maji kuruka ukiangusha msunari, ndio maana kuna toilet paper, we weka tp yako ndani ya choo kabla ya kuachia mzigo itazuia maji kukurukia, yani vyoo mkao ni if wewe ni msafi nyumbani kwako ila cha kuchuchumaa hata mchafu poa tu, ila ukiwa public place ukakuta choo mkao hapo naelewa wamezingua mi mwenyewe sitajisaidia hapo, eti imagine udondoshe mjengo wa maana af ndan choo cha kuchutama, au ungekuta kwny ndege una choo mchutamo iyo ingekua ndege au ngorika[emoji23]
 
Hii mada imenichekesha sana ila kiukweli hivi vyoo vya kukaa vinaboa sana tu,

Mm huwaga naweka tissues ndo nikae tena kukaa yenyewe ndo ile style ya kucheza rede upande upande, ukiachia unaruka usipokua na machejo maji yanakurukia hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatanguliza tissue kama hivyo tissue zingine unatupia pale kwenye maji ,unaweka mambo yako juu ya tissue unaflsh mchezo umeisha ,japo si vizuri sana hivi vyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vyoo vipo kwenue jengo letu jipya la ofisi aise ...huwa ni maajabu sana ......ukienda toilet unaweza ukajikuta shida zako zimekata ....fangasi ni kugusa kabisa

Sent using i phone x
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Ahaaaaasaaaasssss nimecheka hoi
 
Choo cha kukalia sio issue, vingi vinakua havijakamilika.

Vyoo vya kukalia vilivyo kamilika lazima ukuta tissue na dawa ya kusafishia (sanitizer)

Kwa hiyo kwa mtu mstaraabu atafuta sehemu ya kukalia na sawa akitumia tissue kabla na baada ya kukate magogo yake.

Tatizo watanzania sio wastaraabu

Unakuta jitu kinamwaga mikojo juu na linaacha hivohivo bila kufuta linaondoka wakati kuna tissue na dawa opo pembeni yake.

Mwingine unakut anakaa tuu juu bila kufuta sehemu ya kukalia wakati tissue zipo na dawa zipo.

Hii ji kwa ofisi ambazo zinajali afya za wateja na wafanyakazi.

Vyoo vya kuchuchumaa ni vizuri kwa afya pia

Mfano watoto ni vyema ukawawekea vyoo vya kuchuchumaa kwa sababu ile kitu inatika yote tena kama risasi.

Na pia vinapunguza maabukizi.

Lazima tukubali haya mambo yanahitaji kozi ya kujifunza.

Hata ukiweka kwa ajili ya baba na mama pekee kama bado mnaakili za vijijini bado ni tatizo na utakua ndio ugonvi wenu kila siku.

Mnaoana mmoja katoka sengerema mwingine nyanshozi kila mkoja ana ustaraabu wake.

Moja ya eneo ambalo najifunza hata kwa video za you tube ji usafi katika maeneo mbalimbali yanayo nizunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Choo cha getoni kwangu kinatema kinyama, napotoka kukata gogo. Daah!!
 
Ukikata gogo linadumbukia kwenye yale maji yanakurukia.

Magonjwa hayaepukiki
Habari za msimu wa siku kuu.

Choo cha kisasa cha kukalia ni dizaini ya choo chenye sink ya kukalia na kwa asilimia kubwa kilichotengenezwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu au wenye matatizo ya miguu na kiafya kwa ujumla ikiwemo na wazee tofauti na kile cha kawaida cha kuchuchumaa.

Kwa hali isiyo ya kawaida,choo hiki kimekuwa kimekiwa kikipendelewa sana kuwekwa majumbani tena majumba ya kifahari, na nyumba za kawaida, kwenye mahoteli, na sehemu nyingi za public na private nyeti kwa matumizi ya wote.

Sehemu nyingine huwa kunakuwa na vyoo viwili yaani milango miwili ya choo. Kimoja cha kuchuchumaa kwa maana kwa watu wasio na ulemavu , wazee, ama wenye matatizo ya kiafya na chumba kingine cha choo chenye hiyo choo/sink ya kukalia kwa ajili ya watu wa category tajwa hapo mwanzo.

Kwa hali isiyo ya kawaida, kumekuwa na wimbi kubwa la watu kupendelea kutengeneza choo cha kulalia kuliko kile cha kuchuchumaa.

Hapa chini nimekuwekea Karaha zake kwa indinkibwa la watu hasa watanzania. Na kuichukulia kuwa si mazoea yetu na hatujazoea kujisaidia tukiwa tumekaa!

Kiukweli kuna taabu tena taabu sana kutumia choo cha dizaini hii. Yaani muundo huu wa Choo unatushinda wstu tulio wengi tena sana kutumia. Mara uingiapo chooni na kukuta huu muundo wa choo amani hukosekana.

Ni kweli kuna raha au starehe yake wakati wa kupush gogo kwa maana ya mkao mzuri wa starehe, ila taabu na Karaha huja wakati wa Kujichamba aka kujitawaza, Aiseee!! Nishidaaaa!!

Japo kuwa kuna huo mpira wa kujisafishia, watu hatujaweza kuutumia maana huishia kujilowanisha nguo hasa suruali au skirt kwa upande wa makalioni na mbele kwa mapaja.

Yaani ukijaribu Kujichamba kwa kuupitisha kwa nyuma au mbele taabu tubu. Lazima ujilowanishe nguo hata kama suruali ama nguo umeishusha na kupunguza presha ya maji ya mpira kadri niwezavyo.

Mara nyingi watu huepuka aibu ya mlowano wa nguo kwa kupendelea kutumia TISHU ambazo huwa pale , ILA SASA SI VYOO VYOTE UTAINGIA NA KUKUTA KUNA TISHU! Utakuta zimeisha au hakuna kabisa na mtu umebanwa!

Wadau, Mwenye utaalamu wa matumizi ya hii sampuli ya choo bila Karaha hizo tajwa hapo juu atujuze.

Merry Xmas and Happy New Year 2020
 
Hivi vyoo kwa bongo sehemu za public kweli ni shida kubwa sana.
 
Ndio maana kuna muda unakuta ulimwengu unanuka mavi,mnatumiaje tishu pekee bila maji baada ya kunya? Jitathimini
 
Back
Top Bottom