Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Yaani inatia huruma.Sisi bado tupo ktk evolution period. Hatujafikia kuwa binadamu kamili
Yaani...nimeona maana ya kuepuka kupeana mikonoVyoo vya umma sio vya kutumia.
Kabisa, yani katika swala zima la ustaarabu tuna safari ndefu mno.Sisi bado tupo ktk evolution period. Hatujafikia kuwa binadamu kamili
Kwa kweli. Veite ijw ikikagueTuliza mshono wewe, toa pesa hiyo tununue V8
Shauri zako, hatuna muda!Bado tupo kwenye round ya 2 ya ulimwengu ilihali wenzetu wapo round ya 10.
Mtu unamuwekea dustbin lakini anatupa uchafu pembeni kabisa ya dustbin hiyo hiyo.Bado tupo kwenye round ya 2 ya ulimwengu ilihali wenzetu wapo round ya 10.
Ni rahisi kujua aina ya akili ya watu wetu kupitia vyoo na uchafu unaosambaa barabarani. Unapata majibu kamili tuna watu wa namna gani.
Mbona Kuna vijana wanafanya sana hizi delivers za vitu vya sokoni kwa pikipiki na magari huku maofisini/majumbani?Nimetafakari ukianzisha biashara ya kuisambaza bidhaa majumbani in bulk italipa Kwa sie tusopenda kukutana na mambo haya.
Ukitungua ofsi maeneo ya sokoni. Magari ya kisambaza, nyanya,karoti,matunda nk italipa. And this is serious
Aisee kule ndio unabaki mdomo wazi hawa ndio wasomi eti.Vyoo vya Kule wanakopikwa wataalam (Vyuo vikuu) umeshawahi kuviona mkuu?
Acha tu mkuu, waafrika Ni nyani tuliochangamka tu.Aisee kule ndio unabaki mdomo wazi hawa ndio wasomi eti.
Sisi ni watu ovyo waliosoma na wasiosoma.
Hawana ofisi mkuu.. hawajitambulishi.. lkn pia wanapaswa kuwa na usafi wa Hali ya juu... packing Yao ikiwa hygiene angavuMbona Kuna vijana wanafanya sana hizi delivers za vitu vya sokoni kwa pikipiki na magari huku maofisini/majumbani?