Choo cha kulipia Tegeta sokoni kimeniharibia siku

Mimi choo nisichokizoea ni mgumu sana kujisaidia

Kipindi nipo shule nilikuwa sijisaidii vyoo vya shule nikibanwa na weit mpka mda wakulidi home na ndio mpaka leo naishi humo
 
Sijui dini yako, ila ktk amri 10 za msingi ni kwamba "USISEME UWONGO" we ni mwongo, vyoo vya umma wapewa kampuni binafsi haiwezekani asiweke hata maji? Jamani tuwe wa kweli, tumwogope MUNGU wetu wa mbinguni. Km unachosema ni kweli, eneo hilo lina m/kiti wa mtaa, mbunge na wengineo haiwezekani hilo kutokea. ACHA FITNA NDG!
 
Hujawahi banwa boss

Nisha banwa sna nakumbuka siku hiyo nafika home nakimbilia choon kumbe mzee kaenda mzee wet alikuwa akiingia choon mna msahau ase nilijikojolea dada angu akaniona akaenda mwambia kaka bro akaja nishushia kipigo baba akasikia akatoka nae kaniongezea uku ananiuliza shuleni amna vyoo?

Nilipigika sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliona kuonesha picha ningewatia kinyaa. Ila wanaume mfanya ufasi vyoo havina usimamizi wa nukta Kwa nukta
 
Unachotaka kubisha ni nini?.Nani ambaye hajui mwafrika na uchafu ni vitu vinavyoenda sambamba.Vyoo tu vyakwenye ma bar ni changamoro sembese hivyo vya sokoni.Acha kutaka kutetea ujinga wakati bado swala la usafi kwetu ni changamoto,kwasababu tatizo halianzii kwa anayetakiwa kufanya usafi bali kwa aliyepata huduma alafu akashindwa kua msafi.
 
Ni huko kwenu Darisalama. Dar kunaeleweka kwa uchafu
 
Wabongo suala la usafi tumeshindwa. Nafikiri usafi unapaswa sasa kuingizwa kwenye zile vita zetu tunavyovipigana dhidi ya Rushwa, elimu, umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…