Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hiji ni choo cha shimo, nje unachimba shimo na unaweka bomba la kusafirishia uchafu. Uchafu unausukuma kwa ndoo ya maji.
Ni rahisi kusafisha na uchafu unaoukusanya unaweza kuutupa shambani baada ya muda. Unaweza kuweka utararatibu wa kutapisha shimo kila baada ya miezi mitatu na kumwaga mbolea shambani.
Ili kupata mbolea nyingi unaweza kuwa na ukarimu wa kukaribisha wageni nyumbani kwa siku kadhaa.