Choo kikiwa hivi kinaashiria nini kwa binadamu?

Ni kweli mkuu kwa harufu ya mkojo unaweza kitambua kisukari pia kwa karatasi maalum unaweza kutambua maambukuzi ya bacteria kwenye mkojo
 
Ni kweli mkuu kwa harufu ya mkojo unaweza kitambua kisukari pia kwa karatasi maalum unaweza kutambua maambukuzi ya bacteria kwenye mkojo

Bado jamii ina ufahamu duni sana juu ya masuala ya afya....hasa mambo kama hayo yanahusisha miili yao........

Unapoyaongelea mambo madogo kama haya watu wengine hustaajabu kana kwamba si sehemu ya miili yao.......
 
Barikiwa kwa maelezo kuntu
 
Inaweza ikawa ni upungufu wa madini ya chuma, utumbo mdogo unavuja damu au matatizo ya INI. Kwa maelezo zaidi muone daktar
 
Barikiwa kwa maelezo kuntu
Hivi siyo ini limefanya kazi kupitiliza kweli? Dawa, pombe hasa kali, madawa ya malaria, antibiotics huchosha ini na huanza kutoa choo chenye damu. Mimi siyo daktari ila nasoma sana majarida ya madawa. Nashauri kunywa maji kwa wingi, epuka vitu vinavyochosha ini na meditate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…