Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
But she is a doctorDuh daktari mwenyewe mwananamke halafu ni binti mdogomdogo tu sujui naanzaje yaani bonge la aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But she is a doctorDuh daktari mwenyewe mwananamke halafu ni binti mdogomdogo tu sujui naanzaje yaani bonge la aibu
Ni kweli mkuu kwa harufu ya mkojo unaweza kitambua kisukari pia kwa karatasi maalum unaweza kutambua maambukuzi ya bacteria kwenye mkojoChoo cha mwanadamu kinaeleza au kina uhusiano wa moja kwa moja na utendaji kazi wa mwili wa mwanadamu.....ndio maana wataalamu wanagundua maradhi mengi kupitia choo chako.....na hata mkojo wako......
Unapogundua kuwa kuna hali isiyo ya kawaida kwenye choo chako ni ishara kuwa mwili wako unatenda kazi isivyo kawaida....kwa hiyo ni jukumu lako kwenda kuwaona wataalamu wa afya.......
Ni vyema kuchunguza choo chako kila baada ya siku tatu kwani choo kinaweza kukuonyesha dalili za mwanzo kabisa za magonjwa mbali mbali katika miili yetu.......
NB;
Hata rangi haja ndogo pia zina viashiria vya maradhi......
Tunza afya yako kabla ya maradhi.....
Utumie ujana wako kwa manufaa kabla ya uzee.....
Utumie muda wako vyema kabla haujapotea......
Sky umemjibuje mbumbumbu wa kiswahili huyo. Kauliza choo, kauliza kinyesi?Hajafundishwa kulenga
Ni kweli mkuu kwa harufu ya mkojo unaweza kitambua kisukari pia kwa karatasi maalum unaweza kutambua maambukuzi ya bacteria kwenye mkojo
Eeeeh si mnsemaga story bila picha ainogi eeeh safi
Huyu atakuwa amekula ugoro
Daah yaani umeamua kutuonyesha mubashara kabisa
Barikiwa kwa maelezo kuntuChoo cha mwanadamu kinaeleza au kina uhusiano wa moja kwa moja na utendaji kazi wa mwili wa mwanadamu.....ndio maana wataalamu wanagundua maradhi mengi kupitia choo chako.....na hata mkojo wako......
Unapogundua kuwa kuna hali isiyo ya kawaida kwenye choo chako ni ishara kuwa mwili wako unatenda kazi isivyo kawaida....kwa hiyo ni jukumu lako kwenda kuwaona wataalamu wa afya.......
Ni vyema kuchunguza choo chako kila baada ya siku tatu kwani choo kinaweza kukuonyesha dalili za mwanzo kabisa za magonjwa mbali mbali katika miili yetu.......
NB;
Hata rangi haja ndogo pia zina viashiria vya maradhi......
Tunza afya yako kabla ya maradhi.....
Utumie ujana wako kwa manufaa kabla ya uzee.....
Utumie muda wako vyema kabla haujapotea......
duh, tumbo limeoza mzee. sipati picha ukijambaa inakuwaje iyo harufu. unapiga picha mimmavi yako na kutuwekea hapa hata aibu huna, ivi una akili kweli wewe? loooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeeh si mnsemaga story bila picha ainogi eeeh safi
Hivi siyo ini limefanya kazi kupitiliza kweli? Dawa, pombe hasa kali, madawa ya malaria, antibiotics huchosha ini na huanza kutoa choo chenye damu. Mimi siyo daktari ila nasoma sana majarida ya madawa. Nashauri kunywa maji kwa wingi, epuka vitu vinavyochosha ini na meditate.Barikiwa kwa maelezo kuntu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Unakunya kisha unapiga picha unaleta hapa?
Eeeeh si mnsemaga story bila picha ainogi eeeh safi