Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Umenena vema mkuu👏Jamani hii nchi ni ya kwetu sote. Ulaji ni lazima ugawanywe kwenye makundi tofauti tofauti. Kuna watu wasomi wazuri tu, wenye busara na maono mtaani. Wengine wanafanya umama au ubaba ntilie wapo.
Kwa hiyo msihukumu mtu eti kwa sababu anafanya kitu fulani hafai.
Mama amefanya jambo zuri. Kagawa ulaji kwa makundi tofauti tofauti. Acheni wakafanye kazi....wakishindwa ku deliver ndo mjeseme hapa.